Urefu wa kamba mama ataonaje changamoto ya ada? Toka ujana wake jamaa yuko kwenye higher positions! Mshahara siyo chini ya 15m per month hapo bado hujaweka marupurupu mengine!Watoto 15 duh....
Changamoto ya Ada alikuwa haioni
Wewe bhana umeona sifa sliyonayo ni jando tyu!Jamaaa kapiga jando vya kutosha aise 15
Kuna agizo lilitolewa na Chama na Hayati Mwenyekiti Mwendazake nadhani ilikuwa viwanja vya Mnazimmoja au KisutuJamaa alipambana kujaza dunia kama maandiko yasemavyo. Hakika aliyaishi maagizo ya Muumba wake, apumzike kwa amani mwamba
Wasifu wa kiume, umeshiba na kujitosheleza sana.Bosi Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Nyamo Hanga aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15 i
View attachment 3306131
Ngoja nikuache km unaweza kutumia neno tyu badala ya tu sasa tuongea nn apo tuelewaneWewe bhana umeona sifa sliyonayo ni jando tyu!
Mkuu hii nchi tuna watu wa hovyo sana! Hata kwangu mindugu mingine inanicheka nikiiambia nina watoto watatu tu! Yenyewe inazaa kama misungura juzi kati nyingine inalia imekosa ada ya mtoto kwenda chuo! Nikaliuliza hiyo si ndiyo faida ya kufyatua pambana mwanawane mtoto aende chuo na sisi huku tuna majukumu ya kusomesha! Sasa hivi zinarudi zinasema kumbe nyie mliona mbali!😁😁😄😄Mmoja tu ananitoa mvi,halafu kuna mindugu mijinga inaniambia we fyatua tu eti ukoo wetu mdogo.Hawanipati.
Hamna sheria inayomkataza mtumishi wa serikali kuzaa zaidi ya watoto 4,ila kuna restriction ya kuhudumiwa na muajiri kimatibabu na safari.na kuhusu ajali unaandika kama you are exempted from death kama Elia na Enock.Na labda nikuambie siyo kila mtu anapeleka watoto wake shule za mabei mfano Magufuli mpaka anakuwa rais mtoto wake alikuwa anasoma primary ya olimpio hapo.mshahara wa CEO zaidi ya 20m na posho zishindwe kuhudumia watoto 15 hacha uzwazwa unakasarika mwanaume kuwa na wake wawili!!? Utakuwa mwanamke na kama mwanaume ni bwabwa.Ndo maana alikuwa anatembelea gari ya Wachina kama rushwa. Sheria ya Serikali mtumishi anatakiwa awe na watoto 4 tu watakao hudumiwa na Mwajiri/Serikali.
Kama ni kweli alikuwa na 2 wives na 15 children LAXIMA AIBE ILI KUJIKIMU. Hata hii ajali imetokana na STRESS za kujibebesha mizigo iliyo zidi uwezo wake. You reap what you sow!!! Very shameful!!!
Mungu yupi? Hiyo sheria inapatikana kitabu gani? Vipi yule aliyekuwa na wake mamia na masuria wa kutosha hakuwahi kufokewa na huyo Mungu kwamba aache kuupiga mwingi, bali ndiyo kwanza alipewa ahadi ya kubarikiwa uzao wakeSheria ya ndoa ya Mungu ni MME MMOJA(1) na MKE MMOJA(1). Zaidi ya mke 1 ni UZINZI NA UMALAYA TU.
Hapana, hapo sasa tutakuwa tunamtuhumu marehemu! Kwa mshahara wa mkurugenzi wa shirika la serikali hawezi kulia njaa mpaka kuwa na stress! Huyo hakuwa kama sisi akina pangu pakavu tia mchuzi! Huyo akiaga anaenda kwenye kikao cha bodi hakosi kurudi na 5m, mshahara ndiyo usiseme, safari za kikazi ndiyo basi tena! Anaweza kukaa nje ya home zaidi ya miezi anazurura tu!Ndo maana alikuwa anatembelea gari ya Wachina kama rushwa. Sheria ya Serikali mtumishi anatakiwa awe na watoto 4 tu watakao hudumiwa na Mwajiri/Serikali.
Kama ni kweli alikuwa na 2 wives na 15 children LAXIMA AIBE ILI KUJIKIMU. Hata hii ajali imetokana na STRESS za kujibebesha mizigo iliyo zidi uwezo wake. You reap what you sow!!! Very shameful!!!
Nashangaa hata mimi mkuu! Kwa nafasi yake ni halali azae watoto wengi!Hamna sheria inayomkataza mtumishi wa serikali kuzaa zaidi ya watoto 4,ila kuna restriction ya kuhudumiwa na muajiri kimatibabu na safari.na kuhusu ajali unaandika kama you are exempted from death kama Elia na Enock.Na labda nikuambie siyo kila mtu anapeleka watoto wake shule za mabei mfano Magufuli mpaka anakuwa rais mtoto wake alikuwa anasoma primary ya olimpio hapo.mshahara wa CEO zaidi ya 20m na posho zishindwe kuhudumia watoto 15 hacha uzwazwa unakasarika mwanaume kuwa na wake wawili!!? Utakuwa mwanamke na kama mwanaume ni bwabwa.
Mkuu acha maisha ya kuiga fulani anaishije, unatakiwa kuishi vile wewe unaona inafaa na unafurahia maisha yako.Kwa mifano ya haraka haraka tu Billionaire Bill Gates ana mtoto 1 tu. Barak Obama former president wa USA ana watoto 2 tu. Sasa ww Mkurugenzi wa TANESCO unaiye ishi kwa mshahara na hongo za Wachina una wake 2 na watoto 15...Hizo ni akili au matope?
Imeandikwa wapiSheria ya ndoa ya Mungu ni MME MMOJA(1) na MKE MMOJA(1). Zaidi ya mke 1 ni UZINZI NA UMALAYA TU.
Mafundisho ya kikoloni yametuharibu pakubwa sana. Yaani unakuta mwanaume mzima anasema mbona Bill Gates ana mtoto mmoja na Obama ana watoto wawili as if wao ndiyo SI unit ya kipimo cha kuwa na watoto hapa Duniani.Wakuu kwani Kuna ubaya gani mtu kuwa na watoto wengi, kila mtu aishi apendavyo
Is this real!?Na baada ya kufariki ndo nyumbani kwao ikajengwa nyumba harakaharaka ili kuficha aibu, ukuta unapigwa rangi cement haijakauka, msisahau sana nyumbani
Kuna agizo la chama lilitolewa "...fyatueni watoto"Mmoja tu ananitoa mvi,halafu kuna mindugu mijinga inaniambia we fyatua tu eti ukoo wetu mdogo.Hawanipati.
Safi sanaBosi Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Nyamo Hanga aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15 i
View attachment 3306131
Mkuu ww ndio huna hela, kuna watu kama hao na unakuta watoto wao wanasoma shule za kishua sanaWatoto 15 duh....
Changamoto ya Ada alikuwa haioni
Huna akili, we kwakuwa huna nguvu za kiume,wenzio wakizaa unawaita washenziKumbe alikuwa mshenzi, anazaa kama mwehu