Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

Alikuwa anawamudu vizuri tuu, kwa hizi shule zq sh 1.5M alimudu kuwasomesha vizuri tuu. Maana mshahara ya miezi miwili ada na school basi zinawatosha.
 
Kwa mifano ya haraka haraka tu Billionaire Bill Gates ana mtoto 1 tu. Barak Obama former president wa USA ana watoto 2 tu. Sasa ww Mkurugenzi wa TANESCO unaiye ishi kwa mshahara na hongo za Wachina una wake 2 na watoto 15...Hizo ni akili au matope?
We faller kweli,kwani kuna sehemu wameandika alishindwa kuwahudumia hao watoto?ww una mtoto mmoja aya tuonyeshe huo utajri wako?
 
Khanisi huyo achananae
 
Mmoja tu ananitoa mvi,halafu kuna mindugu mijinga inaniambia we fyatua tu eti ukoo wetu mdogo.Hawanipati.
Hao wanakupenda kukwambia hivyo!!ni bahati ilioje!we unaichezea bure, mbona wazee wetu waliweza,sasa hivi nini tatizo mkuu.
 
Wakristo wengi wamekalilishwa mila za wazungu,mke mmoja watoto wawili.,,...
 
Duuh kumbe marehemu alikua anapenda chini sana
Viongozi wengi wana hayo mambo sana sema wanayaficha. Ukiwa na pesa na madaraka, ni ngumu sana kujizuia na papuhi. Wanawake wenyewe wakishajua una mpunga mbona wanajileta wenyewe. Kwanza unaweza kukuta hao waliosemwa ni official. Wa makando kando hawajasemwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…