BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Ni nguvu ya yesu kuzaliwa au ban za mfululizo zimekufanya uwe mpole namna hii? Genta umeongea kinyonge sana hatujakuzoea hivi.. Japo una akili ya ndege ila sikubaliani na wanao kuponda na kukukosea heshimaKama Wewe hujawa au siyo miongoni mwa Wawania Tuzo na labda Ulitegemea kuwepo huna haja ya Kumalizia Hasira zako Kwangu GENTAMYCINE kwa Kunitukana na Kunidhalilisha.
Kwangu Mimi GENTAMYCINE kuwepo tu hapa kwa Wapigiwa Kura ni Ushindi tosha Kwangu na nawashukuru Walionipigia Kura, Watakaonipigia Kura, Uongozi wa JamiiForums kwa Kuniheshimisha na kubwa zaidi namshukuru Mwenyezi Mungu ambaye Kutwa ananibariki na atandelea Kunibariki.
Nguvu ya Mungu haizuiliki daima.