unakili bila kujua kwamba TFF wako upande wa nyau fc maana wasinge weza tambua upungufu wa mkataba kama hawajaoneshwaUsitufokee ,mmefoji mkataba halafu lawama kwa simba,simba walishaona mapungufu ya mkataba ndo maana hawajasubiri TFF kumsajili morison ,walaumu utopolo na TFF siyo simba ,hata hiyo bodi ya sheria unajua mwenyekiti wake ndo huyo huyo aliyegombea uenyekiti wa yanga na msolwa ?hata hivo mlitakiwa mpigwe adhabu kubwa
ndo mwenyekiti wa kamati kasema haya ama haji manaraUmeshaambiwa sehemu ya kusaini mkataba kati ya viongozi wa Yanga na Morrison hapaonekani, pamechanwa, unadhani ni nani waliofanya uhuni huo kama sio GSM?!
Ji Es Emi ndo walilazimisha kuingiza pesa kwenye akaunti yake. Mbona BM33 alilisema hilo kitambo mzee?!tangu lini kishika uchumba kikarudi mkuu,isemwe wazi dogo ana tamaa na historia inaonesha ivo mambo ya kishika uchumba unayajua ww
Ni uwalakini upi hauo? Baada ya kukuta walakini wamechukuliwa hatua gani za kisheria?
hivi hakuna mechi alizocheza baada ya mkataba kuisha? inabidi ichunguzwe wanyang'anywe points.Hivi mashabiki wa Simba kwenye social media wako automated? Robo saa tu inatosha comments 500 huko fb,300 huko insta
Kutaka mkataba wa mchezaji yeyote pale TFF utaupata, unalipa 50,000/= unajaza fomu unaandika na barua, after that TFF wakiipata barua yako wata-print mkataba unaoutaka, watauweka kwenye bahasha wakiambatanisha na risiti ya fedha uliyolipia, ni simple tu, hapo hakuna cha Simba wala Yanga.unakili bila kujua kwamba TFF wako upande wa nyau fc maana wasinge weza tambua upungufu wa mkataba kama hawajaoneshwa
Acha ushabiki maandazi. Kwani hawawezi kumuwekea hela kwenye akaunti yake benki ili itumie kama kigezo cha kuwa ana mkataba?kwamba yeye si mkosaji iyo pesa anatakiwa kurudisha ya nini, na bado anatakiwa kamatini tena kwa nini kubali viongozi wameongozwa na u nyau fc wanatoa maamuzi ya kibwege sana
Utopolo FC wanachojua ni kufoji mikataba
Wewe kumbe habari nyingi huna, kwa kifupi GSM ni matapeli.ndo mwenyekiti wa kamati kasema haya ama haji manara
Umeshaambiwa sehemu ya kusaini mkataba kati ya viongozi wa Yanga na Morrison hapaonekani, pamechanwa, unadhani ni nani waliofanya uhuni huo kama sio GSM?!
yaani wewe una habari ambazo hata kamati hawana hahahahahahahaWewe kumbe habari nyingi huna, kwa kifupi GSM ni matapeli.
hahahaha ona mawazo yako ya kibwege mwanzo mwisho, yaani ni yale mawazo yua kufikirika anakwambia alipokea 25,000 akaja ongezwa 5,000 we unaleta stori za aliwekewaa kwenye benki hahahahah kinyemelaAcha ushabiki maandazi. Kwani hawawezi kumuwekea hela kwenye akaunti yake benki ili itumie kama kigezo cha kuwa ana mkataba?
Unajua hela imewekwa lini na mkataba Yanga wanadai alisaini lini?
Sio fitna, ni taratibu, yeye mwenyewe anakwambia simple tu, mbili na mbili ni nne.Nilisema, Hans Pope kwa fitna hawatamuweza. Ukiona Hans amekomaa na jambo kaa pembeni ...
Haya hiyo hapo, endelea kuchekelea.yaani wewe una habari ambazo hata kamati hawana hahahahahahaha
We nawe unabisha tu, hujui lolote.hahahaha ona mawazo yako ya kibwege mwanzo mwisho, yaani ni yale mawazo yua kufikirika anakwambia alipokea 25,000 akaja ongezwa 5,000 we unaleta stori za aliwekewaa kwenye benki hahahahah kinyemela
Ni kukosea tu mkuu.Tunashukuru kwa hii taarifa, lakini hili sio jukwaa la michezo bali la siasa. Unakwama wapi boss? Au ndio mambo ya kuleta siasa kwenye kila kitu?
we unajua si ndo mjumbe wa kamati aya twambie mapungufu ya mkataba ni yepiWe nawe unabisha tu, hujui lolote.