Uchaguzi 2020 Mpangilio wa Majina ya vyama kwenye Karatasi ya kupigia kura ulizingatia nini?

Hapo unaweza kuta kwenye karatasi zenyewe mambo yakawa yapo tofauti ili kutoa watu kwenye reli bt nadhani kabla ya uchaguzi watabandika hyo karatsi ili watu wapate kuona kabla ya zoezi lenyewe
 
WA MWISHO NDIYE MSHINDI

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 

“Mfano wa karatasi ya uchaguzi wa Rais”
 
Una akili sana. Na kweli kila mbinu mbovu waliofanya imewafaidisha CHADEMA. Hii nayo inakwenda kuwasaidia CHADEMA pia. Ila wasiiseme kwanza. Manyang'au yanaweza kurudi kiwandani yakalipa pesa za kubadilisha makaratasi tena.
Huu mpangilio mzuri sana, wao walijifanya kukomoa ila unawaambia laymen kuwa tiki yule wa mwisho. Angepachikwa katikati ingeleta ugumu.
 
Kwa hizi siku chache zilizobaki tunapaswa kuwaelekeza wananchi wote kwamba Tundu Lissu na chadema wako mwisho wa karatasi , wekeni alama ya Vema hapohapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…