Msajili: Vyama vya Siasa vinatakiwa kufanya uchaguzi wa viongozi kama Sheria inavyowataka na kuepuka kukaa muda mrefu bila uchaguzi

Chodem wanatekelezaje
 
Hivi chadema walifanya uchaguzi mara ya mwisho karne ipi.
 
Ukiona barua na maagizo yaliandikwa na Sisty ujue kuna kitu kinapikwa au mtu anatafutwa.
Vipi vile vyama rafiki vya CCM Kumi na tatu (ambavyo hushonewa suti kwenda kwenye press ya kuipinga CDM) lini vilifanya uchaguzi Katika miongo miwili iliyopita.
Lini Mamose Cheyo alipigiwa kura mara ya mwisho?😁
Huu ni mzaha wa hovyo.
 
Avitaje vyama hivyo,

Pia Msajili hawaoni walioanza compaign mapema?
 
TANESCO
TASSAF
TRC
ATC
TRA
NSSF
STAMICO
OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA
Hizi ni baadhi ya Taasisi za hovyo kupindukia.
 
Huyu msajili anatumika kibwege sana na CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…