Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chodem wanatekelezajeOfisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini imevikumbusha Vyama ambavyo muda wa Uongozi wa Viongozi wake unakaribia kuisha, kufanya Uchaguzi wa Viongozi hao kabla ya muda huo haujaisha
Barua iliyotumwa kwa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa vyenye Usajili kamili leo, Alhamisi Januari 18.2024 imefafanua kuwa Kifungu cha 9(2)(e) kikisomwa pamoja na Kifungu cha 8D(1) cha Sheria 'The Political Parties Act, CAP 258' kinaelekeza kuwa kila Chama cha Siasa kinapaswa kufanya Uchaguzi wa Kidemokrasia wa Viongozi wake kwa Vipindi ambavyo vimewekwa katika Katiba yake
Aidha, Barua hiyo ambayo imesainiwa na Sisty Nyahoza ambaye ni Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, kwa niaba ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Jaji Francis Mutungi imeendelea kufafanua kuwa Kanuni ya 16 ya Kanuni 'The Political Parties (Registration and Monitoring) Regulations, 2019 (TS. 953/2019)' inaeleza kuwa Uchaguzi wa Viongozi wa Chama cha Siasa unapaswa kufanyika siyo zaidi ya miaka Mitano (5) tangu Uchaguzi uliopita kufanyika na kwamba Chama husika kitaomba ruhusa ya Msajili wa Vyama vya Siasa endapo kinataka kufanya Uchaguzi zaidi ya kipindi hicho.View attachment 2875586
Hivi chadema walifanya uchaguzi mara ya mwisho karne ipi.Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini imevikumbusha Vyama ambavyo muda wa Uongozi wa Viongozi wake unakaribia kuisha, kufanya Uchaguzi wa Viongozi hao kabla ya muda huo haujaisha
Barua iliyotumwa kwa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa vyenye Usajili kamili leo, Alhamisi Januari 18.2024 imefafanua kuwa Kifungu cha 9(2)(e) kikisomwa pamoja na Kifungu cha 8D(1) cha Sheria 'The Political Parties Act, CAP 258' kinaelekeza kuwa kila Chama cha Siasa kinapaswa kufanya Uchaguzi wa Kidemokrasia wa Viongozi wake kwa Vipindi ambavyo vimewekwa katika Katiba yake
Aidha, Barua hiyo ambayo imesainiwa na Sisty Nyahoza ambaye ni Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, kwa niaba ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Jaji Francis Mutungi imeendelea kufafanua kuwa Kanuni ya 16 ya Kanuni 'The Political Parties (Registration and Monitoring) Regulations, 2019 (TS. 953/2019)' inaeleza kuwa Uchaguzi wa Viongozi wa Chama cha Siasa unapaswa kufanyika siyo zaidi ya miaka Mitano (5) tangu Uchaguzi uliopita kufanyika na kwamba Chama husika kitaomba ruhusa ya Msajili wa Vyama vya Siasa endapo kinataka kufanya Uchaguzi zaidi ya kipindi hicho.View attachment 2875586
Chadema.Mwenyekiti Ameshaandaliwa na ni MWABUKUSI ...Chodem wanatekelezaje
Chadema mwenyekiti MdudeNgoja tusubirie tuone nani atakuwa nani...?
Hapana Mwenyekiti Ameshaandaliwa ni MWABUKUSI So mtadeal naye 😅😅Chadema mwenyekiti Mdude
Huyu msajili anatumika kibwege sana na CCMOfisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini imevikumbusha Vyama ambavyo muda wa Uongozi wa Viongozi wake unakaribia kuisha, kufanya Uchaguzi wa Viongozi hao kabla ya muda huo haujaisha
Barua iliyotumwa kwa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa vyenye Usajili kamili leo, Alhamisi Januari 18.2024 imefafanua kuwa Kifungu cha 9(2)(e) kikisomwa pamoja na Kifungu cha 8D(1) cha Sheria 'The Political Parties Act, CAP 258' kinaelekeza kuwa kila Chama cha Siasa kinapaswa kufanya Uchaguzi wa Kidemokrasia wa Viongozi wake kwa Vipindi ambavyo vimewekwa katika Katiba yake
Aidha, Barua hiyo ambayo imesainiwa na Sisty Nyahoza ambaye ni Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, kwa niaba ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Jaji Francis Mutungi imeendelea kufafanua kuwa Kanuni ya 16 ya Kanuni 'The Political Parties (Registration and Monitoring) Regulations, 2019 (TS. 953/2019)' inaeleza kuwa Uchaguzi wa Viongozi wa Chama cha Siasa unapaswa kufanyika siyo zaidi ya miaka Mitano (5) tangu Uchaguzi uliopita kufanyika na kwamba Chama husika kitaomba ruhusa ya Msajili wa Vyama vya Siasa endapo kinataka kufanya Uchaguzi zaidi ya kipindi hicho.View attachment 2875586
CUF,TLP,NDL,Mbowe hatoki hapo hadi CHADEMA iingie madarakani.
Kama Mavu alimshindwa aka kimbikia yeye kwa Baba, ni nani wa kumtoa hapo?