samsolo the great
JF-Expert Member
- Jul 9, 2021
- 750
- 1,086
Sasa unafanyaje uchaguzi kabla muda haujaisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau kuwa chadema walisema watafanya uchaguzi 2023? Na hii ni 2024? Kujisahaulisha kupoMbona msajili ana haraka sana, anaogopa kitu gani?
Kawakumbusha wafanye maana yake anajua huwa wanasahau, au inakuwaje?
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Just a remainder kama ambavyo TRA inavyokumbusha walipa Kodi.Mbona msajili ana haraka sana, anaogopa kitu gani?
Kawakumbusha wafanye maana yake anajua huwa wanasahau, au inakuwaje?
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mbowe hatoki hapo hadi CHADEMA iingie madarakani.Anatafutwa Mbowe hapo
Na kwa nini asiwe Lissu?, anyway hayo ni maoni yako .Mbowe si amuweke hata shemeji yake yoyote kuwa mwenyekiti!?.....ama basi hata babamkwe wake!....
Kuepuka hii kadhia ya chama cha kifamilia na kikanda!.... Ama anataka afie hapo!?
Wewe ni Mbowe nini?Kati ya taasisi isiyo jua ina fanya nini hapa Duniani ni hii ya msajili wa vyama vya siasa Tanzania
Chadema wanajitambua?Umesahau kuwa chadema walisema watafanya uchaguzi 2023? Na hii ni 2024? Kujisahaulisha kupo
Chadema walisema au Mbowe ndie alisema atan'gatuka?Umesahau kuwa chadema walisema watafanya uchaguzi 2023? Na hii ni 2024? Kujisahaulisha kupo
Yes, pressure ya maandamano.Anatafutwa Mbowe hapo
Katumwa na CCMMbona msajili ana haraka sana, anaogopa kitu gani?
Kawakumbusha wafanye maana yake anajua huwa wanasahau, au inakuwaje?
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
zito Kabwe mjanja sana, anatumia style ya Vladimir Putin na Dimitry Medvedev, kwenye urais na uwaziri Mkuu 🐒Zitto kabwe ameshastaafu Juzi Mbona Tayari atakuwa Member wa kawaida
Ni wajibu wakeKatumwa na CCM
Sahihi kabisani wajibu wake
Hahah Wakati anajiandaa kugombea Urais mwaka 2025 😀🤣🤣..zito Kabwe mjanja sana, anatumia style ya Vladimir Putin na Dimitry Medvedev, kwenye urais na uwaziri Mkuu 🐒
ameng'atuka kua kiongozi mkuu wa chama hivi sasa anaenda kugombea na kua Mwenyekiti wa chama Taifa.
After 10 years tena anarudi kua kiongozi mkuu wa chama tena, hawezi chokwa kama wengine 🐒
Muda wa kikatiba ukoje?Umesahau kuwa chadema walisema watafanya uchaguzi 2023? Na hii ni 2024? Kujisahaulisha kupo
May be,Hahah Wakati anajiandaa kugombea Urais mwaka 2025 😀🤣🤣..
Save my Comment utakuja Kuamini..
Za Ndani!
Jibu dume hili.Mwenyekiti Yupo Mwabukusi Wala msiwe na Shida
Me nakupa uhakikaMay be,
But ikiwa hivyo then atagombea akiwa na capacity of party leader