Msajili: Vyama vya Siasa vinatakiwa kufanya uchaguzi wa viongozi kama Sheria inavyowataka na kuepuka kukaa muda mrefu bila uchaguzi

Msajili: Vyama vya Siasa vinatakiwa kufanya uchaguzi wa viongozi kama Sheria inavyowataka na kuepuka kukaa muda mrefu bila uchaguzi

Mbona msajili ana haraka sana, anaogopa kitu gani?

Kawakumbusha wafanye maana yake anajua huwa wanasahau, au inakuwaje?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Just a remainder kama ambavyo TRA inavyokumbusha walipa Kodi.
Na sio kwamba eti wamesahau ndio maana akasema watoe taarifa za either kusogeza mbele au kucomply na Sheria inavyosema.
 
Mbowe si amuweke hata shemeji yake yoyote kuwa mwenyekiti!?.....ama basi hata babamkwe wake!....

Kuepuka hii kadhia ya chama cha kifamilia na kikanda!.... Ama anataka afie hapo!?
Na kwa nini asiwe Lissu?, anyway hayo ni maoni yako .
 
Zitto kabwe ameshastaafu Juzi Mbona Tayari atakuwa Member wa kawaida
zito Kabwe mjanja sana, anatumia style ya Vladimir Putin na Dimitry Medvedev, kwenye urais na uwaziri Mkuu 🐒

ameng'atuka kua kiongozi mkuu wa chama hivi sasa anaenda kugombea na kua Mwenyekiti wa chama Taifa.

After 10 years tena anarudi kua kiongozi mkuu wa chama tena, hawezi chokwa kama wengine 🐒
 
Hahah Wakati anajiandaa kugombea Urais mwaka 2025 😀🤣🤣..

Save my Comment utakuja Kuamini..
Za Ndani!
 
Back
Top Bottom