maguniolaf
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 506
- 197
Mbona mazuri hamyasifii?Tatizo sio kosa la zamani, tangu uncle magu aingie madarakani maamuzi ya kibabe yasiyofuata utaratibu wa kisheria ndio imekuwa kigezo cha uthubutu wa kiongozi, sasa shida inakuja pale tunapoelimishwa umuhimu wa kutumia vigezo vya kisheria tunapofanya maamuzi, Na madhara yatakayopatikana kufuatia maamuzi hayo ya kibabe, tunachofanya Ni kumkamata mnenaji wa sheria Na kumfungulia mashtaka ya UCHOCHEZI halafu leo maono yanatimia tunaanza kuzungushazungusha macho.
Noted and edited Mkuu....nothing personal I just wanted to express my opinions
Naomba unisaidie kuainisha hayo maslahi japo kwa ufupi maana tusiwe tunaongea tusichokijua
SONY Xperia Z5 Premium
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Wakati fulani hapa chamani tulikuwa na watu waliojulikana kama wanasheria wa chama na ninamkumbuka mmoja akiitwa Kunambi. Lakini zama hizi sijajua kama bado tunao wanasheria wa chama, ila ningeomba tupate mtu mwenye uwezo wa kujibu na kujenga hoja zitokanazo na changamoto mbalimbali. Haiwezekani leo hii Lissu au Zitto wanaibuka na hoja nyepesi zenye majibu ya kawaida lakini sisi kama chama tunabaki kimya. Leo hii Lissu anawaaminisha watanzania kwamba serikali ikiingia mkataba ni mwiko kuhoji au kuuvunja kwa sababu nchi itashtakiwa, na sisi CCM tumebaki kimya tukumbuke kuwa Lissu ni mwanasiasa na anaongea mambo yote kupitia chama chake chadema, hivyo anapaswa kujibiwa kisiasa na chama kilichounda serikali yaani CCM. Ahsante!
Huyo Tulia ni mweupe sana , hungu nje hatambi kwa lissu, anaringa akiwa bungeni kwa kutumia ubabe wa kitiTulia Akson si mwanasheria? amjibu Lissu.
Wee embu kuwa sirious basiNadhani anataka nchi tumpe Lowasa ndio atulie.
Nipe orodha ya hayo mazuri nimpe sifa zangu zote za dhati
Kwani unapotka hukumu unamlenga aliyopo madarakani au kosa lililotendeka? Sasa kosa limeshatendeka na Kawamvwa unataka Magufuli afanyeje sasa? Jenga hoja zenye akili acha ubabaishaji..Nasema kuwa Tundu Lissu asiombe radhi.
Wakati rufaa iliyokatwa na serikali ikitolewa hukumu dhidi ya kampuni ya ujenzi tuliyovunja kandarasi yao, nani alikuwa waziri wa ujenzi?
Kifupi Kawambwa baada ya kuvunja ule mkataba serikali iliposhindwa kesi kwenye mahakama ya ICSID ilikata rufaa na hukumu ikatolewa kuwa tumeshindwa.
Hukumu hiyo ilitolewa wakati Rais John Pombe Magufuli akiwa tayari waziri wa ujenzi, je anayestahili kubeba jukumu hilo ni Kawambwa?
Tusipende kutafuta siasa nyepesi kwenye mambo mazito!
Na wewe huna taarifa ya kwanini walikuwa hawajalipa.Jiongeze kidogo, KUKATA RUFAA baada ya miaka 7?
Unayo taarifa (notice of intending to appeal) ?
Taarifa ni ya lini?
Hiyo si hoja!Hilo tamko naona ni feki kwa asilimia 95 na linaweza kuwa la kweli kwa asilimia 5.
Kwanza Lissu asingepewa hiyo nafasi ya kuomba radhi bali angekamatwa moja kwa moja na kuwekwa ndani kusubiri case ya defamation.
Si hivyo tu,bali wasingechelewa kukanusha mpaka leo hii na msemaji wa serikali angeeleza jana alipoongelea swala hili.
Hilo tamko limeandaliwa hapo Lumumba na wale wajinga walioandaa lile tangazo fake la mh. Kushinda tuzo kipindi kile.
Kwa Kabudi Lissu ' chamtoto' saaana! Labda ungesema Chenge.CPengine" hapo ndio penye jibu la hoja yako. Ccm inaamini kwenye PhD na "Professorlism" ikiacha ubobezi. Sasa kama na wewe ni mbobezi kwenye "fani yako" tambua kwa sasa "vyuma vimekaza" husiforce Kabudi au Tulia kafanana na Lissu.
"PAMBANA NA HALI YAKO"
Tulia akitulia lissu mbona mwepesi!Huyo Tulia ni mweupe sana , hungu nje hatambi kwa lissu, anaringa akiwa bungeni kwa kutumia ubabe wa kiti
Unahitaji kuwa Lissu kumpinga Lissu
Nikweli lkn Dawa sio kukurupuka nakuitia Hasara Nchi...sikuna Taratibu zipo zakuepukana na Hasara za kijinga namna hii? Mwisho tutaanzishiwa maKODITatizo letu liko kutanguliza mahitaji yetu pekee huku ya Taifa tukiweka pembeni.Hizi fidia zisingekuja ikiwa watu wetu wa sheria wangezingatia zaidi maslahi ya watoto.I-wazi kuwa baadgi ya watu walihakikishiwa chao ili "mbwa" wazoe chakula yetu.Hilo la Makanikia kufunguliwa shauri ni kutaka kwenda katika mkondo ule ule: ku-compromise watakaoenda huko kwenye usuluhishi ili Serikali ionekane haikufuata taratibu.