Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nauliza tu,Mkurugenzi wa TBS na TFDA wametumbuliwa? Hizo mask tunazinunua kwenye maduka yaliyo ndani ya TanzaniaKasema kuna uwezekano wa hizo barakoa kuwa zinapandikizwa corona mbona baada ya matumizi idadi imepanda?
Ana mashaka hata na upulizaji wa madawa (fumigations) kunaweza kuwa kumetumika kupandikiza virusi na ameagiza vyombo vya ulinzi na usalama vichunguze, kuna haja tena ya kupuliza madawa?
Huyo ndio Rais wetu maarufu kama Jiwe! hajaribiwi hata kidogo.
Sasa lile agizo la kutaka kuvaliwa barakoa katika ofisi za umma, mabenki na daladala halina maana kwani barakoa haziaminiki tena na kwa nini watu wavae vitu wasivyo na uhakika kama ni salama?
Hayo ya kujipulizia madawa ya kuua mende, Rostam naye akachukue mamashine yake aliyofunga. Kwanza nani kamruhusu kufunga (hata kama ni Majaliwa) mbona yeye hana taarifa huko Chato mapumzikoni?
Haya sasa kwa wale mlio sema kakaa kimya sana! Kasema sasa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Je, uzembe wa kuwa na MAABARA moja tu nchi nzima? Mgonjwa akipatikana Bukoba au sehemu yoyote ya nchi, inabidi damu itumwe Dar halafu wasubiri majibu ya vipimo kwa muda usioeleweka.
Makonda Dada Ummy vinara wa barakoa halafu wenyewe hawavai, hamjiulizi?RAIS ANA MASHAKA NA BARAKOA, ANA MASHAKA NA UPULIZIAJI WA DAWA, YANA KWA UJUMLA ANA MASHAKA NA MBINU ZA SERIKALI ZA KUPAMBANA NA CORONA
Ndio kushindwa kwake kuliko kuwa kunasemwaUnganisha hotuba yake na kuchomwa, kwa ghala la vifaa tiba kule Temeke.. Kuna kitu kinaendelea sio bure
..wakati yeye NDIYE Kiongozi wa hiyo Serikali!RAIS ANA MASHAKA NA BARAKOA, ANA MASHAKA NA UPULIZIAJI WA DAWA, YANA KWA UJUMLA ANA MASHAKA NA MBINU ZA SERIKALI ZA KUPAMBANA NA CORONA
Sio na wataalam wa afya?Tuendelee kuchukua tahadhari zinazotolewa na viongozi wetu