Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,082
- 4,103
AnhaaMradi wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AnhaaMradi wake
Acha basi ulikua unanipima wewee [emoji38][emoji38]Anhaa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mtatue marindah.
Sheria pamoja na utaratibu lazma uwe na maana pamoja na msingi kumzuia mtu kucheka kama moja ya sheria ya nyumba inaweza kuwa ni ujuha.Kumbuka hakuna aliyetaka kula mwenyewe au kubagua chakula(mboga) ila Mimi sizani uyo kijana kula uku kubonyeza simu yake kunamuathiri mtu yyte kwa njia yoyote ile mbali na kumuathiri yeye(kama kutokushiba) ivyo sioni tatzo zaidi ya Sheria za ajabu za mtoa mada.
NB:siwezi muwekea mtu Sheria ya kutokucheka kwasababu tu Mimi sipendi kucheka sababu anakaa kwangu ikiwa hainidhuru kwa chochote kile.
Ndugu acha udikteta, au nakosea ndugu zangu.Nyumbani kwangu ikifika wakati wa chakula cha usiku (dinner) ni lazima tule pamoja kwenye chumba kimoja,
sasa kuna mtoto wa shangazi ni kama miaka 20 hivi hapendi kufata sheria ya mda wa dinner.
sheria ya muda wa mlo wa usiku ni kwamba simu hazitakiwi kutumika, simu inabidi ziachww vyumbani.
lengo ni kupata chakula cha usiku kama familia, ni muda ambao watu wote ndani ya nyumba tunajumuika, kila mtu anaelezea siku yake imeendaje, maendeleo ama changamoto kwenye shughuli zake, ushauri, kukumbushanana umoja ni nguvu, n.k.
sasa huyu dogo ni kama haheshimu huu utaratibu, yeye akija bado yupo busy na simu kwa kuibia ibia.
Shangazi yangu ni mtu ambae tumezoeana sana tangu nikiwa mtoto, naogopa nikimminya sana dogo ataenda kulalamika alafu ikala kwangu.
nimemwambia kama mara 3 anaacha ila anarudia.
suluhisho ni nini??
AhahaaahaaTutajuaje kama nyumbani kwake wanakula kwa kuzunguka meza...!!
Kuna vitabia huwa vinakera sana,simu, tv nk vina muda wake sio nakutuma kitu unakiweka mezani huku umekodolea tv hatuwezi kuelewana ikiwa hivyo tv nazima kabsa mpaka umalze kazi niliyokutuma.Anza msako wa kukagua simu kwa kila anaeenda kuketi mezani kabla ya chakula atakayebainika huyo atakula simu kwa siku hiyo mbona atanyooka tu, kama hataki arudi kwao au akajitegemee si ashafikisha umri wa utu uzima huyo....
Ila sheria zingine bwana ni miiba kwanza yeye kuchezea simu kunakusababisha usishibe au?? Utakuwa na hulka za uchoyo wewe.