Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ukolon mamboleo, una viashiria vya udikteta uchwaraNyumbani kwangu ikifika wakati wa chakula cha usiku (dinner) ni lazima tule pamoja kwenye chumba kimoja,
sasa kuna mtoto wa shangazi ni kama miaka 20 hivi hapendi kufata sheria ya mda wa dinner.
sheria ya muda wa mlo wa usiku ni kwamba simu hazitakiwi kutumika, simu inabidi ziachww vyumbani.
lengo ni kupata chakula cha usiku kama familia, ni muda ambao watu wote ndani ya nyumba tunajumuika, kila mtu anaelezea siku yake imeendaje, maendeleo ama changamoto kwenye shughuli zake, ushauri, kukumbushanana umoja ni nguvu, n.k.
sasa huyu dogo ni kama haheshimu huu utaratibu, yeye akija bado yupo busy na simu kwa kuibia ibia.
Shangazi yangu ni mtu ambae tumezoeana sana tangu nikiwa mtoto, naogopa nikimminya sana dogo ataenda kulalamika alafu ikala kwangu.
nimemwambia kama mara 3 anaacha ila anarudia.
suluhisho ni nini??
Hama ukapange chumba chako.Duuh kuna muda hutojisikia jamen kula muda huo
Sawa
Msalimie GavanaNaomba mwenye uwezo hawatag wale wote waliomjibu kwenye uzi wake uliopita ule waje kumshambulia Tena uyu Dikteta
Ili iweje?huu utamaduni kwa mzee wngu upo, mda wa kula lzm wote muwe mezani mle kwa pamoja...
Inaonesha umekulia katika familia za kihuni tuNiliwai kuishi na mtu Kama mtoa mada wanakera Sana sawa Ni kwake ila mamb mengne ya kingesee
huu utamaduni kwa mzee wngu upo, mda wa kula lzm wote muwe mezani mle kwa pamoja...
Yaani ni kaja tu kula sikukuu, haya sawaSipo hivyo mkuu, bianafsi ninajua kinachofanya watu wawe wanaogopa kula meza moja kwa huku afrika.
style yangu tofauti kabisa.
Na pia sio kama dogo anagekuwa ananiogopa hata hio simu angekuwa hathubutu kuja nayo, huyu dogo nimezoeana nae sana tu, ni yeye alietaa kuja mwenyewe huku kusherekea krismas, sio kwamba kalazimishwa na sangazi yake,
Mshamba sana huyu brother, hii ni roho mbaya yaan watanzania mtu akiwa na kamji kake anaweka visheria uchwara ili kuvimba tu.. mtu ana miaka 20 unataka kumpangia mpaka muda wa kushika sim!!Mpe muda,mazoea yana tabu,
Imagine we uende kwa shangazi alafu akawambie ndani kwake kulala ni saa1 jioni wote,utaweza?
Naamini mwanzo utapata tabu ila badae utazoea na kuadopt so mpe muda nae dogo huyo!
For real[emoji849][emoji849][emoji849]Attention seeker...
nimemwambia kama mara 3 anaacha ila anarudia.
suluhisho ni nini??
sana na unasaidia mengi, sio chakula kimeiva kila mtu anakula kwa mda wakeNi utaratibu mzuri kwakweli.
🚮Ili iweje?