Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula akiwa na sm kuna kosa gani.huo ni unyanyasajiTumia sheria hii itakusaidia:
Chini ya dari langu ni sheria zangu, au kwa kimakonde under my roof my rule.
Kama ulishamkanya subiri siku kukiwa kuna msosi aupendao sana, siku hiyo akigusa simu mwambie aile hiyo simu yake na umfukuze mezani aende kuchat vizuri, usimuonee huruma wala haya. Halafu tupe mrejesho kama amebadilika au la
Mbona Una pafanya nyumban kwako kama gerezani?Nyumbani kwangu ikifika wakati wa chakula cha usiku (dinner) ni lazima tule pamoja kwenye chumba kimoja,
sasa kuna mtoto wa shangazi ni kama miaka 20 hivi hapendi kufata sheria ya mda wa dinner.
sheria ya muda wa mlo wa usiku ni kwamba simu hazitakiwi kutumika, simu inabidi ziachww vyumbani.
lengo ni kupata chakula cha usiku kama familia, ni muda ambao watu wote ndani ya nyumba tunajumuika.
sasa huyu dogo ni kama haheshimu huu utaratibu, yeye akija bado yupo busy na simu kwa kuibia ibia.
Shangazi yangu ni mtu ambae tumezoeana sana tangu nikiwa mtoto, naogopa nikimminya sana dogo ataenda kulalamika alafu ikala kwangu.
nimemwambia kama mara 3 anaacha ila anarudia.
suluhisho ni nini??
Ana tunga Sheria za kikoloni mtoto akiwa ana tumia simu muda wakula wamuache wao waendelee Kula tu mtoto akija kushtuka wenzake washafika mbali siku nyingine akili ita mkaa sawaWw ni hasidi,huyu ndugu yako Bora aondoke hapo aepukane na hasad zako
kweli kuna watu mko kauzu zaidi ya dagaa[emoji1787]Tumia sheria hii itakusaidia:
Chini ya dari langu ni sheria zangu, au kwa kimakonde under my roof my rule.
Kama ulishamkanya subiri siku kukiwa kuna msosi aupendao sana, siku hiyo akigusa simu mwambie aile hiyo simu yake na umfukuze mezani aende kuchat vizuri, usimuonee huruma wala haya. Halafu tupe mrejesho kama amebadilika au la
Shangazi yangu ni mtu ambae tumezoeana sana tangu nikiwa mtoto, naogopa nikimminya sana dogo ataenda kulalamika alafu ikala kwangu.
nimemwambia kama mara 3 anaacha ila anarudia.
suluhisho ni nini??
Mkuu muda wa dinner kuna maongezi yake, hayo mambo ya mpira huwa ni sebuleni na mimi ni kijana nina 31 nakua ni vitu gani vya kuongea na hawa madogo maana hatujapishana sana.Ukiona hivyo ujue hamna mazoea kihivyo.
Mtoto anakula Hana wa kupiga naye Stori hivyo anakuwa bored. Simu ndio inampa kampani.
Wakati WA Kula jaribu kumpisha Stori Kwa kumpa mada za kuchangia Kama vile mpira, muziki, n.k.
Hata Mimi ningekuwa kwako wakati WA Kula alafu sina wakupiga naye Stori huenda ngefanya hivyo hivyo.
Alafu chukulia huyo Kwa sasa ni mtu mzima, miaka 20 ni mingi.
Sio ulete sheria za wakati Kula hakuna kuongea ukadhani kanuni hiyo inatumika Kwa watu wazima piah
Sipo hivyo mkuu, bianafsi ninajua kinachofanya watu wawe wanaogopa kula meza moja kwa huku afrika.Upo wakati unafika vile unavyovipenda wewe siyo lazima wengine wavipende.
Ipo siku hicho chakula utabaki na mkeo tu hapo dining room wengine watavizia mkishakula ndo waje kuchota chakula wakale vyumbani mwao.
Ushukuru hata kama wanasogea wakati wa kusali.
Kubali tu kila zama zinakuja na kupita.
Ndio faza house kasema sasa, wahisha kongoro mess hapo ukale nae😅Sasa kama mtu hujsikii kula muda huo inakuwaje?
Duuh kuna muda hutojisikia jamen kula muda huoNdio faza house kasema sasa, wahisha kongoro mess hapo ukale nae😅
Sasa mzee tukimuita Nduli Idd Amin anasema kuwa watu wamemuita dikteta. Ofcourse sio kila wakati utakwepa kula mezani ila kuna muda haujiskii kula lazma uta dodge tu kama anataka awaone wanafamilia basi aombe wakae tu sebleni.Duuh kuna muda hutojisikia jamen kula muda huo
Sawa
Niliwai kuishi na mtu Kama mtoa mada wanakera Sana sawa Ni kwake ila mamb mengne ya kingeseeSasa kama mtu hujsikii kula muda huo inakuwaje?