Mtoto wa shangazi ana kiburi kwenye kufata sheria zangu nyumbani kwangu, nitatue vipi?

Sheria pamoja na utaratibu lazma uwe na maana pamoja na msingi kumzuia mtu kucheka kama moja ya sheria ya nyumba inaweza kuwa ni ujuha.

ila katika chakula kwa watu wengi wenye kipato cha chini hufanya hivyo ili kupunguza bajeti, pia huleta mahusiano mema angalia mtoto anaekula peke ake toka udogoni wengi wana ubinafsi mkubwa na wachoyo.

Kwahiyo mleta mada yupo sahihi kufanya hivyo nyumban kwake na sio nyumban kwa mtu a pia ikitokea ameenda nyumbn kwa watu wengine nae atafuata utaratibu alioukuta
 
Vijana wamekuwa wa hovyo sana..

Simu zinachangia sana kuvunja mahusiano ya familia nyingi,,,watu kila saaa wako na simu
 
Ndugu acha udikteta, au nakosea ndugu zangu.
 
Kuna vitabia huwa vinakera sana,simu, tv nk vina muda wake sio nakutuma kitu unakiweka mezani huku umekodolea tv hatuwezi kuelewana ikiwa hivyo tv nazima kabsa mpaka umalze kazi niliyokutuma.
 
Kuna watu mna sheria majumbani mwenu. Mke wako anakohoa kweli?. Hilo tu linakuumiza?. Acha uandazi huo we bwege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…