Mtu mwenye uwezo kuliko wewe kifedha unaweza kumpa zawadi gani?

Haya mambo ya wahenga, watoto wa siku hizi hawaelewi hzi harakati.
 
Lengo langu sio kurudishiwa bwana mbona hivyo 😁😁
Sijasema lengo lako ni kurudishiwa isipokuwa Yule utakayempelekea zawadi kwa sababu umesema ana uwezo mkubwa wa Kiuchumi kuliko wewe lazima atafanya jambo ambalo litakushangaza maana kumpelekea zawadi ataona kama umemshusha thamani😁😁
 
Sio kwamba ana uwezo mkubwa, ana uwezo kuliko mimi
 
Mkuu Khantwe
Kama yalivyo maoni ya wengi (jogoo/mfugo).. Hemea msosi na ukashiriki kuuandaa. "Huwenda" atafurahi sana

It works 90% lakini kama wewe ni mmaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…