Mtu mwenye uwezo kuliko wewe kifedha unaweza kumpa zawadi gani?

Habari zenu wakuu.
Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
Usikute umeshamtunuku tobo la mlango taka [dawasko]
 
Mpelekee vitu viwili cha kufurahisha macho na kitamu cha kushibisha tumbo.

Hicho cha kufurahisha macho hakikisha kina dumu muda mrefu.
 
Habari zenu wakuu.
Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
Andika kwa kuchonga kwenye Kibao kizuri cha mbao (au tafuta wa taalamu wa sanaa hiyo) maneno haya 'muda huu utapita'.
Maneno hayo yana tumika kwenye hali mbili tofauti ambazo ni wakati wa furaha sana na wakati wa huzuni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…