Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
ni heri tumkimbize rais maana anaona kuliko kulikimbiza dude linalowaka na kusambaza ukimwi !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenge wa uhuru au ule wa olympic?
Mwenye kujua faida za mwenge hasa mkesha wa mwenge naomba anijulishe maana sizioni.
Huwa nasikia watu kubakwa uko na sijajua faida za mkesha wa huo mwenge japo unatumia gharama kubwa sana.
Mwenye ufahamu wa faida zake anielimishe.