faida kubwa ni kueneza ukimwi kila mkoa
Kwanza hata ukikimbizwa siuonagi
ndio, kuna umuhimu na jamii inauhitaji
utauonaje wakati wewe ni kipofu??
mkuu ule mwenge nasikia ni uchawi ma interahamwe..ukitaka kuukosa uongozi ndani ya ccm jaribu kutoa mawazo kama mwenge haufai