Mwenge huu hata CCM wenyewe hawautaki. Wapo naona kwasababu wanachomoa chomoa hela za mafuta, na pia Mwenge unawasaidia kuwapumbaza wananchi.
Pascal Mayalla,
GuDume,
BAK,
maggid,
Sky Eclat ,
Mzee Mwanakijiji na wachambuzi wengine wakaribie ili tufaidi hasara na faida za kitu hiki.
Kipekee
said mohamed mzee mbobezi wa historia ya Tanganyika, kabla na baada ya Uhuru, atatupa kiunaga ubaga historia ya huo Mwenge, kuanzia harakati za kina Forojo Ganze na wenzake Sheikh Yahya Hussein, hadi walipoufikisha magogoni.
Asante