Jamaa huwa wanatupatia condom za bure pia tunacheza disco,kula pombe na madem kibaoo!ila condom zenyewe hatutumii tunapenda kavu end of the day tunapata ugonjwa wa kisasa tunakula vizuri na kufanya mazoezi!🤣
 
Jamaa huwa wanatupatia condom za bure pia tunacheza disco,kula pombe na madem kibaoo!ila condom zenyewe hatutumii tunapenda kavu end of the day tunapata ugonjwa wa kisasa tunakula vizuri na kufanya mazoezi!🤣
Hatari sana...

Siku hiyo kitu ikiacha kukimbizwa wadanganyika watatoka kwenye lindi la usingizi na kuacha kushangilia mziki wasiojua na watahoji kila upuuzi na kuchukua hatua stahiki pajapohusika
 
Nyerere katuachia vitu viwili vinavyo filisi nchi yetu, ccm na mwenge.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Nashukuru kwa heshima hii ulonipa dada ... Nakuja.

 
Hapa kwetu ZANZIBAR kwa kipindi hichi hatuna raha kwa ajili ya mwenge. Mwenge huo ukitoka sehemu moja kwenda nyengine huwa na msururu mrefu wa magari ya polisi, jeshi pamoja na ya wapambe wa mwenge kutoka bara. Kinachokera zaidi barabara hufungwa mpaka msafara umalizike.

Kwa kweli mwenge sijaona faida yake kwa taifa au masilahi kwa raia zaidi ya watu kukimbiza moto.

Mwaka mmoja huko nyuma katika purukushani za mwenge kuna asikari polisi alitakiwa kuupokea mwenge na alikataa na alisema yeye ni Muisilamu na haabudu moto, yaani aligoma kuuchukua. Kwa hiyo nae akaambiwa avue magwanda yao (yaani uniform) na hiyo ilikuwa na maana ya kuachishwa kazi.
 
Nipo sit moja nawe kabisa,toka nizaliwe sijawahi kuona na kamwe sitaki niuone coz naamini hauna faida yoyote plus na hali ya uchumi tulinayo sasa,pesa nyingi inapotea,Unazambaza Ukimwi kwa kasi ya hatari mfano kuna uwanja mmoja Geita baada ya mwege ziliokotwa kondomu ndoo moja hao walijari kidogo je ni wote walitumia condoms?Kibaya zaidi watoto wadogo wa primary na secondary kike ndo waathirika zaidi wa ngono kipindi cha mwenge.
Miradi mingi inayofunguliwa kipindi cha mwenge uwa haindelei,
MWENGE ni kitovu cha uzembe badala ya watu wawe kwenye majukumu ya kiuchumi wapo wanakimbizana na mwenge
Shughuli za kitalii usimama kupisha mwenge upite,watalii wanalipa pesa kibao but wanakutana na hayo,watu wanachelewa viwanja vya ndege ni
Halafu ni sehemu ya kupigia pesa.
Pesa za sensa ni muhimu sana kwa taifa ila si kwenye
NAWAKILISHA

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Mimi muisilam lakini naungana na hilo Suala la huyo Askari kuachishwa kazi...RUBBISH
 
Hivi kuna hata mbunge mmoja alishawahi hoji justification ya kutumia gharama kubwa kwenye huu mwenge?
 
huo una siri kubwa sana ata leo uanzishe maandamano nchi nzima hakuna kitacho tokea kiufupi mwenge ndo unafanya Tanzania kuwe na amani.

Uchawi upo jamani.
 
huo una siri kubwa sana ata leo uanzishe maandamano nchi nzima hakuna kitacho tokea kiufupi mwenge ndo unafanya Tanzania kuwe na amani.

Uchawi upo jamani.
Mkuu uko serious kweli kuwa amani inaletwa na mwenge? Kama ni kweli Somalia, South Sudan, DRC wangeuomba ili uwapelekee amani.
 
Mwenge ni uchawi unaotumika na CCM ili idumu madarakani daima.
Pia MWENGE umelaaniwa na Mungu mwenyewe, na wanaoukimbiza MWENGE laana yao Ni kulala kwa huzuni, kila watakachofanya kitakuwa na mwisho mmbaya.
  • Mmenunua mandege yanazalisha hasara.
  • Mmetumia pesa nyingi kwa mradi wa mwendokasi, nao unakufa
  • Mlitumia pesa nyingi mchakato wa katiba, mkakati ukafa
  • Mmetumia mapesa mingi miradi ya gesi, nayo imekufa.
Hii laana inapatikana kwenye kitabu Cha Isaya 50 11.

Isaya 50:11
[11]Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…