UMEBAKIA KUENEZA UKIMWI....TU😃😃🤣👆😁😁Na hauna replacement ,mwenge huu unaojulikana wa UHURU umeisha nguvu na umeshindwa kuwamulika CCM wezi wa kura walioliteka jeshi la polisi na kulitumikisha kama punda,hapa tulipo jeshi la polisi limekuwa mtumwa wa CCM. Polisi wanashindwa kuwakemea CCM,inaonekana wazi CCM wanafanya mikutano kila pembe lakini wengine ni hapana na inakuwa ni kosa kubwa sana ,la jinai .
Mwenge umeshindwa kuiona hali hii na hauna tena zile nguvu zake eti umulike kila kona,hamna kitu tena na nina wasiwasi karibu CCM watafanikiwa kuuzima hata hako kajimuangaza kalichobakia,ili wainyonyoe Tanzania na kuacha mashimo matupu.
Mwenge umeshindwa kuimulika CCM na matendo yake.
Hakuna faida ya mwenge lakini unadumaza akili za watanzania yaani hakuna kuhoji,lakini pia kama unawatoto waambie kabisa wasikaribie huo Moto ni hatari Kwa maisha yakeMimi binafsi hadi leo sielewi kwa kina nini maana ya mbio za mwenge,unasaidia nini ktk taifa letu ukikimbizwa na usipokimbizwa.Kuna mambo nikiulizwa mf nini faida ya majeshi yetu najuwa na kazi zao naona.Tafadhali wanajf
Pigeni hela WananguHuku kigamboni kesho ndio mwenge sasa hv tupo tunakula beer za bure na kesho tunaenda chukua posho..
Pamoja na kuzisarambua posho(kwa wajanja tu)
N.B wakizeleta we tafuna ila sualala KATIBA MPYA lipo palepale TUNAITAKA
Hujawahi kulitakia mema Taifa la WaTanzania. Yaani unaona mwenge, ambao ni ishara ya Uhuru Africa ni Ushetani?Hilo ni jambo muhimu sana, baada ya kopo lonalowaka na kutembezwa kila mahali, linaloitwa Mwenge wa Uhuru kuwasili Mkoani Dar es Salaam, Wakazi wa Mkoa huo wamejitenga wazi wazi na Ibada hiyo ya Shetani, Mapokezi ya mwenge huo yamebaki kuwa ya wanaccm wachache na viongozi wao tu, Jambo hilo ni sawa na ushindi kwa Wanaopinga jambo hilo.
Ikumbukwe kwamba Mbio za mwenge za DSM ndio zilizopigiwa promo kuliko popote.
Hata hivyo uchunguzi wetu umebaini kwamba, tangu enzi na enzi hakujawahi kuwepo na mradi wowote uliozinduliwa na Mwenge wa Uhuru uliowahi kudumu hata kwa miezi 6, Wanazuoni wanadai hilo linatokana na ghadhabu za Mungu kwa ibada hiyo ya Shetani
Kwa kulijua hili Wakazi wengi wa D'salaam kwa kauli moja wameamua kupuuza kabisa jambo hili ili kuondoa Nuksi
Ibada ya kishirikina haijawahi kuwa baraka.Hujawahi kulitakia mema Taifa la WaTanzania. Yaani unaona mwenge, ambao ni ishara ya Uhuru Africa ni Ushetani?
Ulaaniwe.
Ukweli ni kwamba weye ndie unayefanya kazi za kishetani, na uwakala wa mabeberu
Kila ukiuona, unapagawa kwa jinsi mionzi yake inavyofukuza mabeberu.