Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mwenge ndio unaotupambaza kiasi tunaibiwa mamilioni serikalini lakini tumekaa kimya kama mzuzu.
Hili dude ni vyema lipelekwe makumbusho kwani ni alama ya umaskini na ushetani.
Thanks for this, huu mwenge ni ushetani kabisa, Mungu atupe kiongozi wa kuupiga ban
FF hakuna Ukristo wa dhehebu lolote unaoamini katika mwenge na kama litakuwepo basi hilo latumiwa tu na shetani...
Kama ulivyobainisha ni kweli kuwa mwenge ni moja kati ibada za kishetani ila watu wengi wametiwa upofu katika hili...
Haka kasheria soon katakuhukumu tu, Mohamed Said
umevurugwa wewe.... sasa hapa ukatoliki na ukristu unaingiaje? hapo mtoa mada amesema yake ya moyoni kuwa kitendo cha kuukimbiza mwenge kila mwaka ni kama kufanya ibada za kishetani, au matambiko cuz kuna sehemu wanachinja wanyama na pia wananchi wanachangishwa pesa (sadaka) ili huo mwenge uwezwe kukimbizwa.. huu mwenge ni mradi wa ccm na serikali yake ni kichaka cha kupiga deal kujipatia fedha haramu kwa kazi haramu. Nilishawahi kutoa maoni yangu hapa kuhusu mwenge, nilishauri ungewekwa kwenye jumba la makumbusho ingeleta maana kubwa sana katika historia ya nchi yetu kuliko wanavyofanya sasa hivi kuteketeza pesa nyingi kwa jambo la ajabu eti unakimbiza moto si upunguani huu :what:
Kanisa katoliki halihusiki kwa namna yoyote ile na uanzishwaji wa mwenge cuz katika ibada zake hakuna mahali wanakimbiza mwenge au kuchinja wanyama kwa ajili ya mwenge...hii ni propaganda kama zilivyo propaganda nyingine.
mleta hoja alikusudia kuzungumzia mada ya mwenge ni ibada au la na hakua na chembe ya udini.
Ni ibada ya kishetani ya Kikatoli aliyotuletea mtu fulani hapa kwenye nchi yetu.
umevurugwa wewe.... sasa hapa ukatoliki na ukristu unaingiaje? hapo mtoa mada amesema yake ya moyoni kuwa kitendo cha kuukimbiza mwenge kila mwaka ni kama kufanya ibada za kishetani, au matambiko cuz kuna sehemu wanachinja wanyama na pia wananchi wanachangishwa pesa (sadaka) ili huo mwenge uwezwe kukimbizwa.. huu mwenge ni mradi wa ccm na serikali yake ni kichaka cha kupiga deal kujipatia fedha haramu kwa kazi haramu. Nilishawahi kutoa maoni yangu hapa kuhusu mwenge, nilishauri ungewekwa kwenye jumba la makumbusho ingeleta maana kubwa sana katika historia ya nchi yetu kuliko wanavyofanya sasa hivi kuteketeza pesa nyingi kwa jambo la ajabu eti unakimbiza moto si upunguani huu :what:
Kanisa katoliki halihusiki kwa namna yoyote ile na uanzishwaji wa mwenge cuz katika ibada zake hakuna mahali wanakimbiza mwenge au kuchinja wanyama kwa ajili ya mwenge...hii ni propaganda kama zilivyo propaganda nyingine.
Juzijuzi green guards wa Tabora walikimbiza bendera. Hiyo nayo ni ya kikatoliki?
Juzijuzi green guards wa Tabora walikimbiza bendera. Hiyo nayo ni ya kikatoliki?
STOP propaganda!!
Najua umenielewa tu
pole sana dawa imeingia Eeeeh..
Hahahaha haya bana
Mleta mada hakua na hata chembe moja ya udini ndio maana akasema turejee maandiko matakatifu ya ki kirsto na ki islam kama si machukizo kwa Mungu .
Hakuna propaganda ni habari zilizopo mtandaoni, sasa wewe bisha kama hakuna hayo makanisani. Nikuletee ushahidi mwengine.
Nifanye propaganda ili iweje?
Mwenge ni ibada za kishetani hauna mafungamano na ukristo wala uislam ndio maana nasikia mwenge unapolala kuna kuwa na ngono sana.
Ni ibada ya kishetani ya Kikatoli aliyotuletea mtu fulani hapa kwenye nchi yetu.
Wakristo wanaamini kuwepo kwa huo moto na kuwaka kwake kunamaanisha Yesu yupo hapo, kwa hiyo tunazungushiwa nchi nzima na miradi inazunduliwa kwa uwepo wa Yesu.
Hii nchi tunaingizwa kwenye kufuru tukitaka tusitake, huo ndiyo Ukristo na hizo ndiyo sababu za watu fulani kutafutiwa "utakatifu" wasiokuwa nao.
Kuwasha mwenge sijuwi, ulete tumaini sijuwi nini, zote ni ibada za Kikristo, hakuna zaidi. Kuna tumaini linaletwa na moto? moto unaunguza tu.
Waislam jiepusheni nao huo mwenge, mnaabudishwa kiakafiri mkikata msitake bila kujijuwa.
Soma kuhusu, "Sancturay Lamp", na ushahidi huu hapa:
Christian churches often have at least one lamp continually burning before the tabernacle, not only as an ornament of the altar, but for the purpose of worship. The General Instruction of the Roman Missal in the Catholic Church, for instance, states (in 316): "In accordance with traditional custom, near the tabernacle a special lamp, fueled by oil or wax, should be kept alight to indicate and honor the presence of Christ." The sanctuary lamp is placed before the tabernacle or aumbry in Roman Catholic, Old Catholic, and Anglican churches as a sign that the Blessed Sacrament is reserved or stored. It is also used in Lutheran churches to represent the presence of God. The sanctuary lamp may also be seen in Eastern Orthodox Churches.\\
A sanctuary lamp in a Roman Catholic church
Hiyo chuki au ukweli? bisha kama si ukweli na ushahidi nimeuweka, ni ibada ya Kikatoliki na Makanisani mwenu haukosi huo mwenge.
Achana na mimi jadili hoja yangu yenye ushahidi na uipinge kwa ushahidi.