Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?
Huu mwenge ndio unaotupambaza kiasi tunaibiwa mamilioni serikalini lakini tumekaa kimya kama mzuzu.

Hili dude ni vyema lipelekwe makumbusho kwani ni alama ya umaskini na ushetani.

Thanks for this, huu mwenge ni ushetani kabisa, Mungu atupe kiongozi wa kuupiga ban
 
Thanks for this, huu mwenge ni ushetani kabisa, Mungu atupe kiongozi wa kuupiga ban

Kivipi ni ushetani?
Usiwe na imani ambanzo hazina msingi.
Toa sababu zingine za kupinga mwenge ila ushetani sio sababu ya kuukataa.
 
FF hakuna Ukristo wa dhehebu lolote unaoamini katika mwenge na kama litakuwepo basi hilo latumiwa tu na shetani...

Kama ulivyobainisha ni kweli kuwa mwenge ni moja kati ibada za kishetani ila watu wengi wametiwa upofu katika hili...

Hayo niliyoyaandika sikuyafikiria tu kichwani mwangu, na nimekueleza kwenye bandiko langu soma kuhusu "sanctuary lamp". Ni ibada inayofanyika ndani ya makanisa mengi tu, na la Kikatoliki ni moja wapo.

Sasa kama ni ibada ya Kishetani, inabidi wewe ufikirie mara mbili, jee kwanini ifanyike kwenye kanisa? Na pia inabidi uje na maelezo na hoja ya kuijibu post namba moja ya mleta mada. Umeisoma vizuri?

Utueleze, sisi kama wa Tanzania, huu mwenge una maana gani? wa nini, unaashiria nini? kama si ibada ya Kishetani?

Soma hii kutoka kwenye " Catholic Encyclopedia":

In the Old Testament God commanded that a lamp filled with the purest oil of olives should always burn in the Tabernacle of the Testimony without the veil (Exodus 27:20, 21). The Church prescribes that at least one lamp should continually burn before the tabernacle (Rit. Rom. iv, 6), not only as an ornament of the altar, but for the purpose of worship. It is also a mark of honour. It is to remind the faithful of the presence of Christ, and is a profession of their love and affection. Mystically it signifies Christ, for by this material light He is represented who is the "true light which enlighteneth every man" (John 1:9). If the resources of the church permit, it is the rule of the Caerem. Episc. (1, xii. 17) that more than one light should burn before the altar of the Blessed Sacrament, but always in uneven numbers, i.e. three, five, seven, or more. The lamp is usually suspended before the tabernacle by means of a chain or rope, and it should hang sufficiently high and removed from the altar-steps to cause no inconvenience to those who are engaged in the sanctuary. It may also be suspended from, or placed in a bracket at the side of the altar, provided always it be in front of the altar within the sanctuary proper (Cong. Sac. Rit., 2 June, 1883). The altar-lamp may be made of any kind of metal, and of any shape or form. According to the opinion of reputable theologians, it would be a serious neglect, involving grave sin, to leave the altar of the Blessed Sacrament without this light for any protracted length of time, such as a day or several nights (St. Lig., VI, 248). For symbolical reasons olive oil is prescribed for the lamp burning before the altar of the Blessed Sacrament, for it is a symbol of purity, peace, and godliness. Since pure olive oil, without any admixture, causes some inconvenience in the average American climate, oil containing between 60 and 65 per cent of pure olive oil is supposed to be legitimate material. Where olive oil cannot be had, it is allowed, at the discretion of the ordinary, to use other, and as far as possible vegetable, oils (Cong. Sac. Rit., 9 July, 1864). In case of necessity, that is, in very poor churches, or where it is practically impossible to procure olive or vegetable oils, the ordinary, according to the general opinion of theologians, would be justified to authorize the use of petroleum. We are of the opinion, however, that there are but few parishes that can claim this exemption on the plea of poverty. Gas (Ephem. Lit., IX, 176, 1895) and electric lights (Cong. Sac. Rit., 4 June, 1895) are not allowed in its stead. The Caerem. Episc. (ibid.) would have three lights burn continually before the high altar, and one light before the other altars, at least during Mass and Vespers. Before the Blessed Sacrament, wherever kept, a lamp should be constantly burning. Our bishops have the power of granting permission to a priest, under certain circumstances, to keep the Blessed Sacrament in his house. In such cases, by virtue of Faculty, n. 24, Form. I, the priest may keep it without a light, if otherwise it would be exposed to the danger of irreverence or sacrilege. For the same reason we believe It may be kept also in the church without a light during the night.

Chanzo: CATHOLIC ENCYCLOPEDIA: Altar Lamp
 
umevurugwa wewe.... sasa hapa ukatoliki na ukristu unaingiaje? hapo mtoa mada amesema yake ya moyoni kuwa kitendo cha kuukimbiza mwenge kila mwaka ni kama kufanya ibada za kishetani, au matambiko cuz kuna sehemu wanachinja wanyama na pia wananchi wanachangishwa pesa (sadaka) ili huo mwenge uwezwe kukimbizwa.. huu mwenge ni mradi wa ccm na serikali yake ni kichaka cha kupiga deal kujipatia fedha haramu kwa kazi haramu. Nilishawahi kutoa maoni yangu hapa kuhusu mwenge, nilishauri ungewekwa kwenye jumba la makumbusho ingeleta maana kubwa sana katika historia ya nchi yetu kuliko wanavyofanya sasa hivi kuteketeza pesa nyingi kwa jambo la ajabu eti unakimbiza moto si upunguani huu :what:
Kanisa katoliki halihusiki kwa namna yoyote ile na uanzishwaji wa mwenge cuz katika ibada zake hakuna mahali wanakimbiza mwenge au kuchinja wanyama kwa ajili ya mwenge...hii ni propaganda kama zilivyo propaganda nyingine.

Naam, mimi nimeelezea kuwa huo mwenge upo makanisani na ni ibada pia ya Kikristo, sasa kama mleta mada anasema ni ibada ya Kishetani, mimi sijakurupuka, nimepitia mtandaoni kuona inatokana na nini? nikayaona niliyoyaona na nnamuunga mkono lakini at the same time nnamuonesha kuwa na Kanisani wana abudu hivyo, Jee na kanisani wanafanya ibada za Kishetani?

Mimi nimeweka hoja na nimeambatanisha ushahidi wa humuhumu mtandaoni na nikaandika "soma kuhusu sanctuary lamp" ili usingoje kusikia kwangu tu, ujionee mwenyewe, hujayaona hayo? na hivi tunavyoendelea kujadili ntakuja na kila aina ya ushahidi kuhusu hilo.

Sasa wewe ndiyo uje na majibu ya amma kutetea hilo amma kukubali, lakini unapokuja bila hoja unakuwa haujafanya kitu, hujalitetea Kanisa wala hujakataa kuwa hiyo ibada si ya Kishetani.

Inabidi tuelewe ukweli, kwanini tunauzungusha moto nchi nzima, faida yake nini? Jee, tunaingizwa katika kuabudu ushetani?

Mimi nimetazama kuhusu faida zake na imetokana na nini, kila nnaposoma nnakutana na kuwa amma mapagani amma waabudu shetani amma makanisa ndiyo yenye kutumia moto kwenye ibada zao:

"The Miracle of the Holy Fire" by Christians from the Orthodox Churches is known as "The greatest of all Christian miracles". It takes place every single year, on the same time, in the same manner, and on the same spot. No other miracle is known to occur so regularly and for such an extensive period of time; one can read about it in sources as old as from the eighth Century AD. The miracle happens in the Church of the Holy Sepulchre in Jerusalem, to millions of believers the holiest place on earth. The Church of the Holy Sepulchre itself is an enigmatic place. Theologians, historians and archaeologists consider the church to contain both Golgatha, the little hill on which Jesus Christ was crucified, as well as the "new tomb" close to Golgatha that received his dead body, as one reads in the Gospels. It is on this same spot that Christians believe he rose from the dead.

Soma zaidi: Niels Christian Hvidt -- The Miracle of the Holy Fire in Jerusalem
 
Ni ibada ya kishetani ya Kikatoli aliyotuletea mtu fulani hapa kwenye nchi yetu.

Juzijuzi green guards wa Tabora walikimbiza bendera. Hiyo nayo ni ya kikatoliki?
 
Mleta mada hakua na hata chembe moja ya udini ndio maana akasema turejee maandiko matakatifu ya ki kirsto na ki islam kama si machukizo kwa Mungu .

Nimeweka juu huko nukuu za maandiko ya Kikristo zinazochochea kuabudu huo moto. Hujasoma? rudia:

Naam, mimi nimeelezea kuwa huo mwenge upo makanisani na ni ibada pia ya Kikristo, sasa kama mleta mada anasema ni ibada ya Kishetani, mimi sijakurupuka, nimepitia mtandaoni kuona inatokana na nini? nikayaona niliyoyaona na nnamuunga mkono lakini at the same time nnamuonesha kuwa na Kanisani wana abudu hivyo, Jee na kanisani wanafanya ibada za Kishetani?

Mimi nimeweka hoja na nimeambatanisha ushahidi wa humuhumu mtandaoni na nikaandika "soma kuhusu sanctuary lamp" ili usingoje kusikia kwangu tu, ujionee mwenyewe, hujayaona hayo? na hivi tunavyoendelea kujadili ntakuja na kila aina ya ushahidi kuhusu hilo.

Sasa wewe ndiyo uje na majibu ya amma kutetea hilo amma kukubali, lakini unapokuja bila hoja unakuwa haujafanya kitu, hujalitetea Kanisa wala hujakataa kuwa hiyo ibada si ya Kishetani.

Inabidi tuelewe ukweli, kwanini tunauzungusha moto nchi nzima, faida yake nini? Jee, tunaingizwa katika kuabudu ushetani?

Mimi nimetazama kuhusu faida zake na imetokana na nini, kila nnaposoma nnakutana na kuwa amma mapagani amma waabudu shetani amma makanisa ndiyo yenye kutumia moto kwenye ibada zao:

"The Miracle of the Holy Fire" by Christians from the Orthodox Churches is known as "The greatest of all Christian miracles". It takes place every single year, on the same time, in the same manner, and on the same spot. No other miracle is known to occur so regularly and for such an extensive period of time; one can read about it in sources as old as from the eighth Century AD. The miracle happens in the Church of the Holy Sepulchre in Jerusalem, to millions of believers the holiest place on earth. The Church of the Holy Sepulchre itself is an enigmatic place. Theologians, historians and archaeologists consider the church to contain both Golgatha, the little hill on which Jesus Christ was crucified, as well as the "new tomb" close to Golgatha that received his dead body, as one reads in the Gospels. It is on this same spot that Christians believe he rose from the dead.

Soma zaidi: Niels Christian Hvidt -- The Miracle of the Holy Fire in Jerusalem
 
Mwenge ni ibada za kishetani hauna mafungamano na ukristo wala uislam ndio maana nasikia mwenge unapolala kuna kuwa na ngono sana.
 
Unatakiwa kutuletea ushahidi kutoka biblia takatifu na si ushahidi wa kuokoteza. Mwenge ni ibada ya CCM kwa ajili ya kuwapumbaza wananchi wasiwe na ufahamu wanaibiwa rasilimali zao kama dhdhabu, almasi, gasi ........
FaizaFoxy
 
Hakuna propaganda ni habari zilizopo mtandaoni, sasa wewe bisha kama hakuna hayo makanisani. Nikuletee ushahidi mwengine.

Nifanye propaganda ili iweje?

Sijui unafanya hizi propaganda mpaka lini
Sijui umetoa connection wapi kati ya mwenge wa taifa na kanisa katoliki.
Acha uwongo wewe!!!!!
 
Msipotoshe watanzania,Kila nchi ina nembo yake ya heshima na inayotumika kwenye kila Dola kama ishara ya heshima kwa nchi. Kwenye nembo hiyo utaikuta kwenye kofia za majeshi yao na ni ishara ya utambulisho wa taifa husika. Marekani wana ndege eagle, Zimbabwe Jogoo, Uganda nadhani wana ndege kama sikosei ni Korongo na kadhalika. Sasa mnapoushutumu mwenge wa uhuru ni kwamba mnataka dola yetu isiwe na utambulisho wa heshma kabisa! Je zile nembo kwe crown za majeshi nazo ni ibada hivyo ziondolewe? Karatasi nyingi za kiserikali pia zina nembo hiyo hiyo, je mnataka tuwe na taifa lisilo na utambulisho? Hebu acheni upotoshaji, huu ni mwenge wa Uhuru lazima uheshimiwe.
 
Mwenge ni ibada za kishetani hauna mafungamano na ukristo wala uislam ndio maana nasikia mwenge unapolala kuna kuwa na ngono sana.

Nani kakwambia ngono ni ushetani. acha imani potofu ww
 
Ni ibada ya kishetani ya Kikatoli aliyotuletea mtu fulani hapa kwenye nchi yetu.

Wakristo wanaamini kuwepo kwa huo moto na kuwaka kwake kunamaanisha Yesu yupo hapo, kwa hiyo tunazungushiwa nchi nzima na miradi inazunduliwa kwa uwepo wa Yesu.

Hii nchi tunaingizwa kwenye kufuru tukitaka tusitake, huo ndiyo Ukristo na hizo ndiyo sababu za watu fulani kutafutiwa "utakatifu" wasiokuwa nao.

Kuwasha mwenge sijuwi, ulete tumaini sijuwi nini, zote ni ibada za Kikristo, hakuna zaidi. Kuna tumaini linaletwa na moto? moto unaunguza tu.

Waislam jiepusheni nao huo mwenge, mnaabudishwa kiakafiri mkikata msitake bila kujijuwa.

Soma kuhusu, "Sancturay Lamp", na ushahidi huu hapa:

Christian churches often have at least one lamp continually burning before the tabernacle, not only as an ornament of the altar, but for the purpose of worship. The General Instruction of the Roman Missal in the Catholic Church, for instance, states (in 316): "In accordance with traditional custom, near the tabernacle a special lamp, fueled by oil or wax, should be kept alight to indicate and honor the presence of Christ." The sanctuary lamp is placed before the tabernacle or aumbry in Roman Catholic, Old Catholic, and Anglican churches as a sign that the Blessed Sacrament is reserved or stored. It is also used in Lutheran churches to represent the presence of God. The sanctuary lamp may also be seen in Eastern Orthodox Churches.\\

A sanctuary lamp in a Roman Catholic church

nichangie kidogo tu humu faiza fox pengine utakuwa umekosea kuingiza dini humu ila kwa upande wake uko sahihi kujaribu kujenga hoja juu ya taa .au huu mwenge binafsi naona ni ibada fulani hivi hebu angalia mkuu wa wilaya anapokabidhiwa hutamka maneno mengi mengine sijui anakuwa kashaambiwe useme hivi na vile ,usiri wake wengi hatuujui ,tukumbuke pia kuna kifimbo cha malkia pia wa uingereza ,hukimbizwa kwenye makoloni yake ya zamani ,tusubiri wanahistoria waje waweke wazi hili.
 
Hiyo chuki au ukweli? bisha kama si ukweli na ushahidi nimeuweka, ni ibada ya Kikatoliki na Makanisani mwenu haukosi huo mwenge.

Achana na mimi jadili hoja yangu yenye ushahidi na uipinge kwa ushahidi.

We ni ---- tuu.nakufatiliaga humu always ni radical huendi na kinachomaanishwa. Kwaio na ubwege wako wewe na lichichiemu lako wote ni wakristo sio kwasabab mnabeba mwenge nakuutukuza mkiamini yesu yu hai? TUMIA AKILI USIWE KAMA KONDOO MWENYE WADUDU KICHWANI
 
Back
Top Bottom