Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

aani magaidi yakatubu kanisani na misikitini?
je wezi wa mali ya umma na nmafisadi wakatubu wapi?
kweli nchi hii sheria zimechukua likizo bila malipo.


jamani hivi bunge linaanza lini?
 
Mbona kila kitu kiko wazi.
 

Naloli nakam ukaja ndema napanandi...mwigulu ubulema bwake bukisenie ikifwani.
 
hili jamaa uwelewa wake ni mdogo sana, atachukiwa sana na jamii kwa siasa zake za kipuuzi na kwa kwendo huu hatafika mbali kisiasa.

Wazee mkeemeeni kijana huyu maana ameivamia siasa kwa pupa.

first claas sio 0 mbowe
 
Kamvua nguo, uharo, haya maneno yanatumikaje kwa Great Thinkers.
iulize kamusi! ni neno kama maneno mengine uliyoyaandika hapo! morning Ritz!
 
Last edited by a moderator:

Naona wako wengi sana hawa walioingia juzi juzi. Ukichunguza wanavyoandika ni sentensi moja fupi ambayo nia yake ni kuchafua na si kujenga. Ukimgundua mtu kama huyu, anayeandika kwa nia ya kuchafua na si kujenga, anayeandika kwa staili ya mipasho, dawa yake ni kumuweka kwenye 'ignore list' yako maana hana mchango wowote wa maana.
 
Wabunge wa TZ wanapoteza muda mwingi kujibizana kuliko kujadiri hoja.. Mh Nchemba amenisikitisha sana maana ameidharau mahakama na amevunja kanuni za bunge huku spika akisema "mkuki kwa nguruwe"😡

mbowe je?
 
tumechoka na hizo story sasa hivi tuangalie suala la maendeleo ya nchi

.
Maendeleo ya nchi yatatoka wapi wakati nchi tumeikabidhi wendawazimu? Labda huko mbeleni ambako hata hivyo hatujui kama kuna njia ya kufika huko.
.
 
Kwani wananch situnajua kinacho endelea miaka hii sio ya zidumu fikra za mwalimu.mwigulu angekuepo kipind cha mwalimu angewika sana ila sio kwa sasa,anaonekana kama bata tu anakunya anayala.mwigulu ccm sio yako uliikuta nahako kacheo kakupewa kasikutenganishe na jamii yako pole mwigulu kwa kuchanganyikiwa.kwanini wamekupa cheo kikubwa namna hiyo?nikama mtu ambae hajawah kushika 10000, umpe m5.kwahakika nilazima agongane uso kwa uso na gari au atakua kichaa.wazazi wa mwigulu muwekeni chini mumkanye amepotea anashindana na chama!!angekua kaka yangu ningempeleka milembe
 
:mwigulu anasema atatoa ushahidi kwamba cdm inahusika na kupanga mauwaji....
Ana mpaka maandishi ya huyo alierekodi..
anasema cdm iko kama mchawi..! kwamba inaloga alafu inakuwa wa kwanza kulia kilioni

ccm oyeeeeeee
 
Mbowe jana alimtaja Mwigulu. Tafuta speech ya Mbowe jana bungeni.

Chadema wamejaa unafiki tu.


ni aibu sana mtu mzima kumuita muongo. Labda nina masikio mabovu, sikusikia jina mwigulu hiyo jana
 
Tuacheni kujaza post tuelezeni sababu ya mkanda kupelekwa kwa Mwigulu.
mkanda kupelekwa kwa mwigulu si hoja.kwani inaonekana wahusika wote ni wanasiasa.pengine hata angepelekewa rose mhando ungeuliza pia.

Swali hapa ni kweli lwakatale,mbowe,slaa ni magaidi au wamesukiwa zengwe.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…