Kuna kipande mh anasema kwakuwa tumefuta hizi tozo, serikali inatiwa kupunguza matumizi, Yan kumbe ilileta tozo ili kujirahisishia wao matumizi ya ajabu serikalini?
 
Kumbe waliongeza matumizi kutegemea tozo.
 
Serikali makini inayojali raia wake
Hongera sana kusikia kilio cha wananchi wenu
 
Phd feki aondoke tu hamna kitu hapo
 
Aongezee; Na kupunguza magari ya kifahari yenye kutumia pesa nyingi ku service...Lakini pia kuongeza base ya tax payers kwakuweka mikakati ya ajira kwa vijana
Misafara mirefu ya viongozi isiyo na tija iondolewe Kiongozi mmoja msafara wa magari yasiyo na idadi
 
Kinachonifurahisha ni kuwa wakati wa kutangaza tozo wabunge walikuwa wanangonga meza kama hapa, na sasa wanangonga meza kwa tozo zilizotangazwa zitakazopunguzwa. Sielewi wanasimama upande gani.
 
Miamala inayozidi 30,000 kupitiwa na panga kali kuwili la tozo kama kawa!
Yaani mtu aende ATM kuchukua 25,000/=. Dah!
Hivi wanaona Watanzania ni mazwazwa au?
Poleni watumishi!
Sijasikia idadi ya magari kwenye misafara yao ikipunguzwa
 
You are enjoying national cake while others are starving...
Gharama za maisha zimepanda na kipato ni kile kilee..
 
Na Dr Steve Nyerere nae anasemaje kuhusu kufutwa kwa tozo kiaina!!??
Achana na Steve kuna yule wa mwanza sijui ni mtoto au mtu mzima, sijui ni mama au mdada, sijui ni msichana au binti. Ni mbilikimo wa mwili akili na meno mdomoni, nahisi hata mbususu iko hivo hivo naye anajifalaghua kutetea tozo, sijui hata kama amewahi kulipa hata mia kodi. Mimi nikiangalia PAYE ninakatwa kwa mwezi nalipa mshahara wa PC watatu au walimu watatu. Alafu napigiwa kelele na watu jamii ya kina Steve eti angalia Malaysia, Wakati hiyo posho anayopewa kuja kupiga domo hajalipia hata VAT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…