Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Ahaa kumbe umekuwa specific kwa Tanzania ... nikajua general according to world population ambazo zinaonesha Me tunawazidi Ke. Hata tanzania hakuna uchache huo ni 51% kwa 49%Sensa ya Taifa
Sensa mashuleni
Sensa vyuoni
Takwimu vizazi na vifo
Je ulishawahi kuona mnyama shoga? Hili ndio lilikuwa swali la msingi! Ila ukaliepa kwa kutaka tafsiri ya mnyama gani wakati hata binadamu ni mnyama! Hapa ndio ulichabangaWee ndo uliye chabanga, swali lako nili elewa na nikajibu vizuri kabisa, unless wee ndo useme ulikosea namna ya kuuliza hilo swali lako.
Na nikuombe karudie tena kuangalia swali lako, na uangalie nilivyojibu, afu utaona. Yupi yuko sahihi kati yetu kwa nafas yake.
Hili swali lako kivyovyote vile sio la kujibu juu juu either afanye utafiti au asome machapisho yaliyopo ndio apate jibu sahihi la kukujibuJe ulishawahi kuona mnyama shoga? Hili ndio lilikuwa swali la msingi! Ila ukaliepa kwa kutaka tafsiri ya mnyama gani wakati hata binadamu ni mnyama! Hapa ndio ulichabanga
Kwa dunia ya sasa ndoa sio ishu. Maana sisi wanaume tulio tayari kuoa niwakuhesabika watu maisha magumu uoe huyo mke atakula niniπ€£ lakini ngono tunataka na tunapataJe hiyo 51% waoaji ni wangapi?
Wengine wa hivi Sasa si ulemavu ni kuiga tamaduni za kigeni nakuchukulia kama jambo la kawaida, wakijaribu wananasa wanashindwa kutoka, ndo maana Kuna NGOs za kuhamasisha hivi vitu.Mungu aliumba jinsia mbili tofauti.. Mungu hakuumba shoga wala msagaji.. Haya mawili mimi huwa nayaweka kwenye kundi la ulemavu.. Na hakuna aliyechagua kuwa mlemavu..
Nina staha kubwa sana kwa wale wote bila ridhaa yao ama kutokana na matendo ya kibinadamu wakapata ulemavu.. Lakini tusifanye hili kosa la kumlinganisha mlemavu na asiye mlemavu kama watu sawa
Dahπ.. Ila unajua ndoa ni zaidi ya ngono na kumhudumia mke?Kwa dunia ya sasa ndoa sio ishu. Maana sisi wanaume tulio tayari kuoa niwakuhesabika watu maisha magumu uoe huyo mke atakula niniπ€£ lakini ngono tunataka na tunapata
Kijana hana kitu hela yake yakula tu shida , hana nyumba , na mwanamke ni hivyo hivyo hapo kuna kuoa? labda kungekuwa na influence nyingine kama ilivyo kwa wanawake wanataka ndoa kwasababu ya msukumo wa kijamii na mambo mengineDahπ.. Ila unajua ndoa ni zaidi ya ngono na kumhudumia mke?
Hivi unajua ndoa ni taasisi!?
Hivi unajua ndoa ni agano? (La kiroho)
Ndoa ni alama ya ukamilifu wa hisia?
Ndoa ni maisha na ni mustakabali!?
Nili overlook hiyo m.senge hapo ila, bado jibu ni inategemea na position aliyopo, haya tuseme ni chakula bado itategemea ni full bottom au ni versatile. So jibu ni inategemea na position. Kama ni full bottom huyo kuwa na ubaba bora ni less than 30% endapo atakuwa na mtoto wa kiume ila versatile yeye anaweza hadi above 60% regardless ya jinsia ya huyo mtoto.Kwani kuhusu position hujaona nimesha specify hapo "*******"
Nani hajui hii nchi Mende hawana shida na wako safe? Na ndio most popularity ya raia wa hili Taifa?
Kabla ya kujibu swali, soma na uelewe kwa ufasaha, nilishamaliza kila kitu kwenye swali, yaan hakuna vipengere, labda muwe navyo watoa majibu.
πππππ
Unakubaliana kua Mlevi, Mzinzi, Mwizi, Muuaji, Mchawi, Mbakaji, wote ni WALEMAVU?Ni ulemavu kama ulemavu mwingine wowote na wapo kila mahali
Baba ni nini na kipi kinamfanya huyo mtu kua Baba bora katika malezi ya mtoto wake?Nili overlook hiyo m.senge hapo ila, bado jibu ni inategemea na position aliyopo, haya tuseme ni chakula bado itategemea ni full bottom au ni versatile. So jibu ni inategemea na position. Kama ni full bottom huyo kuwa na ubaba bora ni less than 30% endapo atakuwa na mtoto wa kiume ila versatile yeye anaweza hadi above 60% regardless ya jinsia ya huyo mtoto.
Since una deal na mwanadamu haya mambo hayawezi kuwa na jibu la moja kwa moja.
Ni nani ulimuona anaiga ushoga? je ushoga ni tamaduni za kigeni za nchi gani? kwenye vitabu vya dini viliandika je nao walitoa wapi?Wengine wa hivi Sasa si ulemavu ni kuiga tamaduni za kigeni nakuchukulia kama jambo la kawaida, wakijaribu wananasa wanashindwa kutoka, ndo maana Kuna NGOs za kuhamasisha hivi vitu.
Makundi haya mawili Mimi nayaweka kwenye ugonjwa wa akili, there is something missing in their common sense
Hao mimi ndio nawatafuta nina dawa yao.Pia kuna wanawake wanataka ndoa ikiwa hawawezi kuishi katika ndoa mwanamke mbishi ana mkosoa mwanaume ovyo mbele za watu haiba ile ya kike now wanayo wanawake wachache sana
πππ mmoja yupo humu ndaniHao mimi ndio nawatafuta nina dawa yao.
Mshana Jr Vijana wako tumeandaa macho hapa,tunasubiri nondo na madini yako Mkongwe πmku wakimaliza kuchangia hii mada naomba uje na mada nyingine kuhusu sisi wadogo zako wa kiume wenye kutafuta mke wa kuoa
Hao uliowataja kama ni me/ke watabaki hivyo walivyo, ila siyo mtu anajitoa ufahamu janaume Zima linamuinamia mwanaume mwenzake aargh eti linachukua role ya mwanamke linajidekesha na linamuita beby na linailialia kabisa, come on can't you imagine, huyo si tu ana magonjwa ya akili ni mwehu au mlemavu kama bro Mshana alivyoelekeza.Ni nani ulimuona anaiga ushoga? je ushoga ni tamaduni za kigeni za nchi gani? kwenye vitabu vya dini viliandika je nao walitoa wapi?
Mlevi, Mzinzi, Mwizi, Mchawi, wana magonjwa ya akili?
Role ya baba inategemea jinsia ya mtoto ila zipo ambazo ni general mfano baba yoyote ana jukumu lakumfundisha mtoto wake kuwa kila kitu kina mipaka na akiivuka atakutana na madhara yake. Sasa hii ni generalBaba ni nini na kipi kinamfanya huyo mtu kua Baba bora katika malezi ya mtoto wake?