mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,650
- 4,481
Yamenifika kooni najisikia vibaya kuendelea kuigiza kwa shemeji yangu na nahisi kama na mimi naendelea kushiriki dhambi ya kuiba damu ya watu
Ipo hivi nina sister yangu ambae ana mtoto wa miaka 3 sasa.. baba mtoto halisi waliachana toka mtoto akiwa na miezi 5 na akamtelekeza matunzo hatoi kabisa wala hatumsumbui Kwa lolote wala yeye hajawai kupiga simu kumuulizia mtoto wake yuko na maisha yake mengine
Sasa nimekuwa nikiona baba mwinginee akihudumia huyu mtoto.. nilijua labda anafahamu kuwa mtoto sio wake mpk nilipomuuliza mama wa mtoto ndio kuniambia ukweli huu
Huyu mwanaume walikuwaga na mahusiano before baba wa mtoto na alimdanganyaga kuwa ni mjamzito wakati huo alikuwa akiishi na mwanaume mwinginee ambae ndio baba halisi wa huyu dogo
Huyu baba fake anajitahidi kuwa karibu na mtoto na kutuma hela japo sio mara kwa mara maana na yeye anajitafuta bado
Na anapiga simu kuongea vcall mara kwa mara kama baba mpk kwenye mitandao anampost huyu mtoto akiamini ni wake
Nilishamwambia sister amwambie ukweli ili aache kujihusisha na huyu mtoto ila nae Naona haelewekii
Sio kwamba wana mahusiano hapana ukaribu ni kwaajili ya mtoto tu kila mtu ana maisha yake
Sasa mimi nataka nijitoe muhanga kumwambia huyu shemeji.. sasa nitakuwa naingilia mambo ya watu au vipi???