Ukiwa na maana ipi?Huoni TZ imenyooka 😜
Muache hii michezo ni hatari kuna watu wengine hawakubali kupoteza. Wengine huona bora mkose wote anawadhuru kwa hasira.Mno, hizi rafu tunazocheza wanawake kupitia watoto ni za hatari.
Nimemove on kivipi shem na umesikia wapi? Ila shem kwa kujiamulia mambo 😅Shemeji nimemove on sababu nasikia umemove on pia, ila ushemeji haufi…
Zingatia hapoSio kwamba wana mahusiano hapana ukaribu ni kwaajili ya mtoto tu kila mtu ana maisha yake
Angekuwa ni mdogo wako wa kiume ungefurahi kuona analeta shahawa za mwanaume mwingine ?Wanawake nyie mtapendana lini? Sasa hapo umeona mdogo wako anafaidi sana au? Kama huyo mwanamme hakereki yanin wewe uashwe na jambo la mwingne? Hata inaonekana wewe ndio chanzo cha mdogo wako kuachika na ataendelea kuachika tu bichwa komwe wewe. Mda mwingne tuliza mshono kwako achana na watu. Sasa unataka mtoto ateseke ndo ufurahi si ndio? Ni watoto wangapi wanalelewa vituoni na wazazi wake wapo? Pumbavu sana wewe ndo maana una matako yote ya kushoto punda mzee ww majungu hadi kwa mdogo wako.! Unajidhihirisha ulivyo na roho chafu kama mdomo wa fisi.