Nawezaje kumwambia ukweli huyu shemeji yangu kuwa mtoto sio wake bila mgogoro?

Wanawake nyie mtapendana lini? Sasa hapo umeona mdogo wako anafaidi sana au? Kama huyo mwanamme hakereki yanin wewe uashwe na jambo la mwingne? Hata inaonekana wewe ndio chanzo cha mdogo wako kuachika na ataendelea kuachika tu bichwa komwe wewe. Mda mwingne tuliza mshono kwako achana na watu. Sasa unataka mtoto ateseke ndo ufurahi si ndio? Ni watoto wangapi wanalelewa vituoni na wazazi wake wapo? Pumbavu sana wewe ndo maana una matako yote ya kushoto punda mzee ww majungu hadi kwa mdogo wako.! Unajidhihirisha ulivyo na roho chafu kama mdomo wa fisi.
 
Kuna dada ni mshikaji wangu nilikua namuuzia mikoba ya kike, sasa Kuna mshikaji ni mpemba mvuvi wa samaki, hua anaishi na huyu dada kama mtu na demu wake, mara siku Moja akaja jamaa ana kitambi, akaingia ndani kapiga show akasepa zake, maisha yanaendelea sasa huyu dada baadae akagundulika ana ujauzito na anaishi na kijana mpemba, lakini mi nili mshuhudia akiingiza jamaa mwenye kitambi geto wakadinyana, sasa hapo swali hio mimba ni ya nani ? Je ni demu baada ya kujua anaujauzito ndio aka amua kumsakizia mwenye kitambi? Au ni je ni ya huyo kijana mpemba?
 
Wanawake nyie mtapendana lini? Sasa hapo umeona mdogo wako anafaidi sana au? Kama huyo mwanamme hakereki yanin wewe uashwe na jambo la mwingne? Hata inaonekana wewe ndio chanzo cha mdogo wako kuachika na ataendelea kuachika tu bichwa komwe wewe. Mda mwingne tuliza mshono kwako achana na watu. Sasa unataka mtoto ateseke ndo ufurahi si ndio? Ni watoto wangapi wanalelewa vituoni na wazazi wake wapo? Pumbavu sana wewe ndo maana una matako yote ya kushoto punda mzee ww majungu hadi kwa mdogo wako.! Unajidhihirisha ulivyo na roho chafu kama mdomo wa fisi.
Kaka umekurupuka msome umuelewe vizuri, ye hana shida ila shida ni matunzo kupitia kwake, mi naona kuliko kumwambia jamaa ni Bora ujitoe kupokea msaada wamalizane wao mana badae jamaa atakuuliza kwanini hukunambia
 
Baba wa mtoto ni yule anaye lea mtoto kwa pesa, upendo na muda anaotumia kwa mtoto.

Hicho unachotaka kufanya si busara kabisa muache mtoto apate upendo kutoka kwa baba
 
Wanawake nyie mtapendana lini? Sasa hapo umeona mdogo wako anafaidi sana au? Kama huyo mwanamme hakereki yanin wewe uashwe na jambo la mwingne? Hata inaonekana wewe ndio chanzo cha mdogo wako kuachika na ataendelea kuachika tu bichwa komwe wewe. Mda mwingne tuliza mshono kwako achana na watu. Sasa unataka mtoto ateseke ndo ufurahi si ndio? Ni watoto wangapi wanalelewa vituoni na wazazi wake wapo? Pumbavu sana wewe ndo maana una matako yote ya kushoto punda mzee ww majungu hadi kwa mdogo wako.! Unajidhihirisha ulivyo na roho chafu kama mdomo wa fisi.

Leo mechi tunabet wapi?
 
Yamenifika kooni najisikia vibaya kuendelea kuigiza kwa shemeji yangu na nahisi kama na mimi naendelea kushiriki dhambi ya kuiba damu ya watu

Ipo hivi nina sister yangu ambae ana mtoto wa miaka 3 sasa.. baba mtoto halisi waliachana toka mtoto akiwa na miezi 5 na akamtelekeza matunzo hatoi kabisa wala hatumsumbui Kwa lolote wala yeye hajawai kupiga simu kumuulizia mtoto wake yuko na maisha yake mengine

Sasa nimekuwa nikiona baba mwinginee akihudumia huyu mtoto.. nilijua labda anafahamu kuwa mtoto sio wake mpk nilipomuuliza mama wa mtoto ndio kuniambia ukweli huu

Huyu mwanaume walikuwaga na mahusiano before baba wa mtoto na alimdanganyaga kuwa ni mjamzito wakati huo alikuwa akiishi na mwanaume mwinginee ambae ndio baba halisi wa huyu dogo

Huyu baba fake anajitahidi kuwa karibu na mtoto na kutuma hela japo sio mara kwa mara maana na yeye anajitafuta bado

Na anapiga simu kuongea vcall mara kwa mara kama baba mpk kwenye mitandao anampost huyu mtoto akiamini ni wake

Nilishamwambia sister amwambie ukweli ili aache kujihusisha na huyu mtoto ila nae Naona haelewekii
Sio kwamba wana mahusiano hapana ukaribu ni kwaajili ya mtoto tu kila mtu ana maisha yake

Sasa mimi nataka nijitoe muhanga kumwambia huyu shemeji.. sasa nitakuwa naingilia mambo ya watu au vipi???
Achana nae kabisa acha kiumbe kikue. We pambania katiba mpya, umenielewa mdogo wangu?
 
Kaka umekurupuka msome umuelewe vizuri, ye hana shida ila shida ni matunzo kupitia kwake, mi naona kuliko kumwambia jamaa ni Bora ujitoe kupokea msaada wamalizane wao mana badae jamaa atakuuliza kwanini hukunambia
bado wembe ni ule ule iwe msaada unpitia kanisani cjui wapi bado n yale yale. Duniani usije kosa kufanya jambo kigezo cha dhambi. Haya leo hii akamwambia huyo mtu akasitisha huduma kwa mtoto na akakosa kabisa msaada si ataendelea kuteseka. Mbona watu tunatunza watoto wa watu mfano kama mimi nna wa dadangu na wazaz wote wapo na mimi ndio namhudumia kila kitu. Tayari kama ni dhambi ashaibebb atulize mdomo. Kwanza huyo mwanamme kaongezewa bahati na hatakosa anachokitafuta. Kumsaidia mtoto asiye wako sio dhambi kwan huyo jamaa alivyokuwa anampanda mdogo mtu wakisikia utamu kuna ubaya gani kumsaidia mtoto? Hayo masadaka mnayompelekea mchungaji cjui mtume ni wenu? My dear mtu mzima na minyonyo au mindevu yake kuonea mtoto nachukiaaa!
 
Yamenifika kooni najisikia vibaya kuendelea kuigiza kwa shemeji yangu na nahisi kama na mimi naendelea kushiriki dhambi ya kuiba damu ya watu

Ipo hivi nina sister yangu ambae ana mtoto wa miaka 3 sasa.. baba mtoto halisi waliachana toka mtoto akiwa na miezi 5 na akamtelekeza matunzo hatoi kabisa wala hatumsumbui Kwa lolote wala yeye hajawai kupiga simu kumuulizia mtoto wake yuko na maisha yake mengine

Sasa nimekuwa nikiona baba mwinginee akihudumia huyu mtoto.. nilijua labda anafahamu kuwa mtoto sio wake mpk nilipomuuliza mama wa mtoto ndio kuniambia ukweli huu

Huyu mwanaume walikuwaga na mahusiano before baba wa mtoto na alimdanganyaga kuwa ni mjamzito wakati huo alikuwa akiishi na mwanaume mwinginee ambae ndio baba halisi wa huyu dogo

Huyu baba fake anajitahidi kuwa karibu na mtoto na kutuma hela japo sio mara kwa mara maana na yeye anajitafuta bado

Na anapiga simu kuongea vcall mara kwa mara kama baba mpk kwenye mitandao anampost huyu mtoto akiamini ni wake

Nilishamwambia sister amwambie ukweli ili aache kujihusisha na huyu mtoto ila nae Naona haelewekii
Sio kwamba wana mahusiano hapana ukaribu ni kwaajili ya mtoto tu kila mtu ana maisha yake

Sasa mimi nataka nijitoe muhanga kumwambia huyu shemeji.. sasa nitakuwa naingilia mambo ya watu au vipi???
Mdomo komo! Kwqni kwa kuishirikisha halmashauri ya ubongo wako we unaona ukimwambia shemeji yako utakuwa hujaingilia mambo yasiyokuhusu?
 
Achana nae kabisa acha kiumbe kikue. We pambania katiba mpya, umenielewa mdogo wangu?
nimeipenda hii sana my friend. Anaposema damu ya mwingne na huyo mwingne aliiacha ikaenda kwa mwingne na anaona kinyongo haifai. Na tena anasema jamaa anatuma 20k baada ya mda mrefu. Huyu ukweli ni apambanie katiba mpya na sio hilo swala.
 
Kabisa mimi mwenyewe nimemwonea huruma jamaa lakini ukichungulia vizuri kiumbe kinataka maisha kikue nacho hakina hatia hakikuomba kuzaliwa acha kipenye mdogomdogo huwezi jua mwishoni kinaweza kumpata dingi wake halisi japo haina maana tena maana dingi nae michosho. Hata musa aliyewaokoa wana israel aliponaopona kimtindo hadi akawa jitu muhimu. Huyo dada atulize mshono aje huku tupiganie katiba mpya. 🤝🤝🤝
 
Baba ake halisi ni huyo aliemtelekeza maana ni wamefanana kama copy
kufanana na mtu sio issue. Na kama ni wake kwanin kamtelekeza na unaleta mambo ya sio na afya. Mtoto wa miaka 3 unaona anafaidi tena kwa 20k na kupostiwa my dear kweli!. Ukimwambia utafaidi nini? I swear ungekuwa karbu tunapga vyetu afu ulete hiyo mada ungekoma ila kwa kua hatujuani nakushauri tu uache mtoto apate huduma coz huyo ni malaika hajui chochote mda utafka wenyewe yaan mdogo wako na mtu wake watayamaliza lakini kwa sasa acha walipie umalaya wao.
 
Kabisa mimi mwenyewe nimemwonea huruma jamaa lakini ukichungulia vizuri kiumbe kinataka maisha kikue nacho hakina hatia hakikuomba kuzaliwa acha kipenye mdogomdogo huwezi jua mwishoni kinaweza kumpata dingi wake halisi japo haina maana tena maana dingi nae michosho. Hata musa aliyewaokoa wana israel aliponaopona kimtindo hadi akawa jitu muhimu. Huyo dada atulize mshono aje huku tupiganie katiba mpya.
 
Screenshot_2026-08-06_010035.jpg
 
Back
Top Bottom