Nawezaje kumwambia ukweli huyu shemeji yangu kuwa mtoto sio wake bila mgogoro?

Nawezaje kumwambia ukweli huyu shemeji yangu kuwa mtoto sio wake bila mgogoro?

Msipende kuleta migogoro kwenye maisha ya wenzenu, Waache watagundua wenyewe.

What if ukimwambia akakaza? Umejiandaa na matokeo ya ulichochagua?
NImejaribu kuwaza what if akimwambia huyo shem achukue maamuzi magumu ya kuangamiza hiyo familia.

Ila huyo dada yake nae anakosea.

Msalimie fulani asije akanifanyia hivi.
 
Msipende kuleta migogoro kwenye maisha ya wenzenu, Waache watagundua wenyewe.

What if ukimwambia akakaza? Umejiandaa na matokeo ya ulichochagua?
Wanawake mnajua kuteteana linapokuja suala la kuwabebesha wanaume mizigo isiyo yao 😁
 
Wote wawili hakuna baba wa mtoto. Mwanamke Malaya hana soni ya kumfanyia Uraghai mwanaume.

Lakini pilipili usioila inakuashia nini? Umewapima DNA?
 
Wanawake mnajua kuteteana linapokuja suala la kuwabebesha wanaume mizigo isiyo yao 😁
😅😅 tbh likija suala la watoto ni kama kanuni zingine hazifanyi kazi. They are so innocent.. Yoda, na majority wanateseka kwa machaguzi ya ujinga wa wazazi.
 
UMBEA atu.okey mtoto akiachwa kuhudumia halafu.
Ndo maana wanasemaga mchawi hatoki.mbali labda kama una mtaka huyo mwanaume 🤣
 
Hata wewe ukute umelelewa na mtu ambae si damu yako ila akaaminishwa ni damu yake.
Relax mdogo wangu dunia ina mambo mengi na watu wengi
Mkuu wewe unachokipagania hukielewi.
Yaani unamkandia mwanamke kwa kumdanganya mwamba, mwisho unasupport mwanaume kutelekeza mtoto.
Huelewi kua ukitelekeza kuna jamaa atabambikiwa na cycle itakua endelevu.
 
Kaa kimya,uzee wa mwanamme ni WA upweke sana!

Acha tulee tu coz hujui yupi atakua msaada uzeeni!

Wanawake ndio wanna uhakika wa kuzungukwa na kundi la msaada Toka kwa watoto!kwa sisi wanaume tuna bet!mi hata nikisingiziwa mtoto nalea kabisa aiseh!!
 
Yajue ya kuzingatia ili uachane na yasio kuhusu.
Siku hizi mnabebe mimba ndo mnaitafutia baba, si ajabu ukute hata nyie huyi si Baba yenu halisi ila kawalea mpaka mmefika hapo.
 
Back
Top Bottom