Nawezaje kumwambia ukweli huyu shemeji yangu kuwa mtoto sio wake bila mgogoro?

Mama mzungu ya ngoswe muachie ngoswe.
Umbea wako utafanya huyo malaika akose matunzo..!!

Halafu hao wanaume jau waache wakomeshwe. Utakuta alikataa mimba ya mtoto wake halisi huko. Halafu yuko kujipendekeza kwa mwanamke ambaye hana mtoto wake..!!
 
Yamenifika kooni najisikia vibaya kuendelea kuigiza kwa shemeji yangu na nahisi kama na mimi naendelea kushiriki dhambi ya kuiba damu ya watu

Ipo hivi nina sister yangu ambae ana mtoto wa miaka 3 sasa.. baba mtoto halisi waliachana toka mtoto akiwa na miezi 5 na akamtelekeza matunzo hatoi kabisa wala hatumsumbui Kwa lolote wala yeye hajawai kupiga simu kumuulizia mtoto wake yuko na maisha yake mengine

Sasa nimekuwa nikiona baba mwinginee akihudumia huyu mtoto.. nilijua labda anafahamu kuwa mtoto sio wake mpk nilipomuuliza mama wa mtoto ndio kuniambia ukweli huu

Huyu mwanaume walikuwaga na mahusiano before baba wa mtoto na alimdanganyaga kuwa ni mjamzito wakati huo alikuwa akiishi na mwanaume mwinginee ambae ndio baba halisi wa huyu dogo

Huyu baba fake anajitahidi kuwa karibu na mtoto na kutuma hela japo sio mara kwa mara maana na yeye anajitafuta bado

Na anapiga simu kuongea vcall mara kwa mara kama baba mpk kwenye mitandao anampost huyu mtoto akiamini ni wake

Nilishamwambia sister amwambie ukweli ili aache kujihusisha na huyu mtoto ila nae Naona haelewekii
Sio kwamba wana mahusiano hapana ukaribu ni kwaajili ya mtoto tu kila mtu ana maisha yake

Sasa mimi nataka nijitoe muhanga kumwambia huyu shemeji.. sasa nitakuwa naingilia mambo ya watu au vipi???
Ndugu yako ni mnufaika wa hiyo biashara. Ni kwamba anachukua pesa kwa wanaume wote. Ukiwasanua watakata mirija, na wewe mnakosana pia.
 
Ndiyo maana wanawake sikuhizi mnakufa vifo visivyo eleweka kimya kimya, sumu sikuhizi zinakuua bila ushahidi.
Huwezi kumbambikizia mwanaume mtoto akashindwa kuja kujua kwamba amelea si damu yake.
Narudia tena, mtakufa kimya kimya.
KATAA NDOA UIMARIKE KIUCHUMI NA KIAKILI, MWANAMKE NI CHOMBO CHA STAREHE, ZALISHA TEMBEA
 
Sasa we unachapa mimba unatembea unategemea nani akulelee mwanao?

Acha kufata mikumbo ya mitandaoni ilhali nafsi yako inakuhukumu.
 
Kwa huyo baba halisi uliishikilia mashine ya shemeji na kuona hizo shahawa kweli zitaleta huyo mtoto?
 
Sasa kwani akifanya na huyo jamaa siku hiyohiyo alipata mimba.. unajuaje kama walitumia kinga au alikuwa siku salama

Bado sijajua hii story yako ina mantiki ipi
Sio kila sex ni matokeo ya mimba.. huyo jamaa anaweza kuwa alipiga lakini hakuweka mimba
Hahahahaaa, huyo kashikishwa huyo mwenye kitambi kashikishwa dada hapa ni mjini
 
99% ni wake
Mwambie ukweli maana siku akija kujua ukwel, wew ndio utatakiwa kubeba lawama za kwann hukumwambia wakati wote. Amin huyo ndgu yako kategesha mtoto akue ajitegemee kisha amsanue jamaa! Lawama zote zitakua kwako!
 
punguza umbea inawezekana hata wewe uyo mzee wako sio baba yako wa damu na watu waliamua kukausha ukapata huduma pengine hadi kusomeshwa leo unaleta kimbelembele kwenye maisha ya watu ujue ni jinsi gani maumbea yako yatakavyoaribu saikolojia ya uyo mtoto acha mtoto atambe kwa baba yake dada yako ndio anajua faida ya uyo baba feki hata kama haudumii vizuri??
 
Yamenifika kooni najisikia vibaya kuendelea kuigiza kwa shemeji yangu na nahisi kama na mimi naendelea kushiriki dhambi ya kuiba damu ya watu

Ipo hivi nina sister yangu ambae ana mtoto wa miaka 3 sasa.. baba mtoto halisi waliachana toka mtoto akiwa na miezi 5 na akamtelekeza matunzo hatoi kabisa wala hatumsumbui Kwa lolote wala yeye hajawai kupiga simu kumuulizia mtoto wake yuko na maisha yake mengine

Sasa nimekuwa nikiona baba mwinginee akihudumia huyu mtoto.. nilijua labda anafahamu kuwa mtoto sio wake mpk nilipomuuliza mama wa mtoto ndio kuniambia ukweli huu

Huyu mwanaume walikuwaga na mahusiano before baba wa mtoto na alimdanganyaga kuwa ni mjamzito wakati huo alikuwa akiishi na mwanaume mwinginee ambae ndio baba halisi wa huyu dogo

Huyu baba fake anajitahidi kuwa karibu na mtoto na kutuma hela japo sio mara kwa mara maana na yeye anajitafuta bado

Na anapiga simu kuongea vcall mara kwa mara kama baba mpk kwenye mitandao anampost huyu mtoto akiamini ni wake

Nilishamwambia sister amwambie ukweli ili aache kujihusisha na huyu mtoto ila nae Naona haelewekii
Sio kwamba wana mahusiano hapana ukaribu ni kwaajili ya mtoto tu kila mtu ana maisha yake

Sasa mimi nataka nijitoe muhanga kumwambia huyu shemeji.. sasa nitakuwa naingilia mambo ya watu au vipi???
Namba yako ya simu sina.
 
Wacha upimbi wewe! Pikipiki usiyoila yakuwashani? Au mavi usiyoyala wayawingiani kuku? Singo maza unataka na mwenzio arudi kwenye mawe? Unaweza kwenda kumwambia akahisi unamtukana akakukata koo!
 
Back
Top Bottom