realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,450
- 19,184
Kausha amsaidie mtoto afike sehemu fulani.Kwaiyo huyu fake tukaushe tu
Anatoa msaada 😛

😅mama mzungu umeulizwa?
We unamtaka huyo kaka? ... ila mWambie tu ukweli umuondolee presha ya uzeeniYamenifika kooni najisikia vibaya kuendelea kuigiza kwa shemeji yangu na nahisi kama na mimi naendelea kushiriki dhambi ya kuiba damu ya watu
Ipo hivi nina sister yangu ambae ana mtoto wa miaka 3 sasa.. baba mtoto halisi waliachana toka mtoto akiwa na miezi 5 na akamtelekeza matunzo hatoi kabisa wala hatumsumbui Kwa lolote wala yeye hajawai kupiga simu kumuulizia mtoto wake yuko na maisha yake mengine
Sasa nimekuwa nikiona baba mwinginee akihudumia huyu mtoto.. nilijua labda anafahamu kuwa mtoto sio wake mpk nilipomuuliza mama wa mtoto ndio kuniambia ukweli huu
Huyu mwanaume walikuwaga na mahusiano before baba wa mtoto na alimdanganyaga kuwa ni mjamzito wakati huo alikuwa akiishi na mwanaume mwinginee ambae ndio baba halisi wa huyu dogo
Huyu baba fake anajitahidi kuwa karibu na mtoto na kutuma hela japo sio mara kwa mara maana na yeye anajitafuta bado
Na anapiga simu kuongea vcall mara kwa mara kama baba mpk kwenye mitandao anampost huyu mtoto akiamini ni wake
Nilishamwambia sister amwambie ukweli ili aache kujihusisha na huyu mtoto ila nae Naona haelewekii
Sio kwamba wana mahusiano hapana ukaribu ni kwaajili ya mtoto tu kila mtu ana maisha yake
Sasa mimi nataka nijitoe muhanga kumwambia huyu shemeji.. sasa nitakuwa naingilia mambo ya watu au vipi???
Msipende kuleta migogoro kwenye maisha ya wenzenu, Waache watagundua wenyewe.
What if ukimwambia akakaza? Umejiandaa na matokeo ya ulichochagua?
Na wewe unamtaka shemeji ee?
Muache mtoto wa watu apate upendo wa baba
Kausha amsaidie mtoto afike sehemu fulani.
Anatoa msaada 😛
mama mzungu umeulizwa?
Wengi hawaoni hatari iliyopo.Mmmh nisije kuambiwa nilishiriki maana anawasiliana na mtoto kupitia mimi
We
We unamtaka huyo kaka? ... ila mWambie tu ukweli umuondolee presha ya uzeeni
Wengi hawaoni hatari iliyopo.
Jamaa akijua anaweza kuwauwa wote ninyi. Wapo watu wenye hasira za namna hiyo.
dada jitahidi kubalance maisha yako achana na mambo ya dada yako subiri siku yako usimdanganye na ww mwanaume wako ila ukijifanya msamaria sana utaonekan ww ndo mbaya labda kma unamtamani mwanaume wa dada yako kwasababu wanawake na huruma bna ni vitu unseparatableYamenifika kooni najisikia vibaya kuendelea kuigiza kwa shemeji yangu na nahisi kama na mimi naendelea kushiriki dhambi ya kuiba damu ya watu
Ipo hivi nina sister yangu ambae ana mtoto wa miaka 3 sasa.. baba mtoto halisi waliachana toka mtoto akiwa na miezi 5 na akamtelekeza matunzo hatoi kabisa wala hatumsumbui Kwa lolote wala yeye hajawai kupiga simu kumuulizia mtoto wake yuko na maisha yake mengine
Sasa nimekuwa nikiona baba mwinginee akihudumia huyu mtoto.. nilijua labda anafahamu kuwa mtoto sio wake mpk nilipomuuliza mama wa mtoto ndio kuniambia ukweli huu
Huyu mwanaume walikuwaga na mahusiano before baba wa mtoto na alimdanganyaga kuwa ni mjamzito wakati huo alikuwa akiishi na mwanaume mwinginee ambae ndio baba halisi wa huyu dogo
Huyu baba fake anajitahidi kuwa karibu na mtoto na kutuma hela japo sio mara kwa mara maana na yeye anajitafuta bado
Na anapiga simu kuongea vcall mara kwa mara kama baba mpk kwenye mitandao anampost huyu mtoto akiamini ni wake
Nilishamwambia sister amwambie ukweli ili aache kujihusisha na huyu mtoto ila nae Naona haelewekii
Sio kwamba wana mahusiano hapana ukaribu ni kwaajili ya mtoto tu kila mtu ana maisha yake
Sasa mimi nataka nijitoe muhanga kumwambia huyu shemeji.. sasa nitakuwa naingilia mambo ya watu au vipi???
dada jitahidi kubalance maisha yako achana na mambo ya dada yako subiri siku yako usimdanganye na ww mwanaume wako ila ukijifanya msamaria sana utaonekan ww ndo mbaya labda kma unamtamani mwanaume wa dada yako kwasababu wanawake na huruma bna ni vitu unseparatable
Mpe deadline dada yako amwambie ukweli huyo anayechunwa.
Ikifika deadline bila yeye kufanya hivyo mrudishie sista mtoto amlee mwenyewe.
Mmh mtu kusema ukweli ndio kumtaka mtu
Hance Mtanashati njoo huku (tea)Yamenifika kooni najisikia vibaya kuendelea kuigiza kwa shemeji yangu na nahisi kama na mimi naendelea kushiriki dhambi ya kuiba damu ya watu
Ipo hivi nina sister yangu ambae ana mtoto wa miaka 3 sasa.. baba mtoto halisi waliachana toka mtoto akiwa na miezi 5 na akamtelekeza matunzo hatoi kabisa wala hatumsumbui Kwa lolote wala yeye hajawai kupiga simu kumuulizia mtoto wake yuko na maisha yake mengine
Sasa nimekuwa nikiona baba mwinginee akihudumia huyu mtoto.. nilijua labda anafahamu kuwa mtoto sio wake mpk nilipomuuliza mama wa mtoto ndio kuniambia ukweli huu
Huyu mwanaume walikuwaga na mahusiano before baba wa mtoto na alimdanganyaga kuwa ni mjamzito wakati huo alikuwa akiishi na mwanaume mwinginee ambae ndio baba halisi wa huyu dogo
Huyu baba fake anajitahidi kuwa karibu na mtoto na kutuma hela japo sio mara kwa mara maana na yeye anajitafuta bado
Na anapiga simu kuongea vcall mara kwa mara kama baba mpk kwenye mitandao anampost huyu mtoto akiamini ni wake
Nilishamwambia sister amwambie ukweli ili aache kujihusisha na huyu mtoto ila nae Naona haelewekii
Sio kwamba wana mahusiano hapana ukaribu ni kwaajili ya mtoto tu kila mtu ana maisha yake
Sasa mimi nataka nijitoe muhanga kumwambia huyu shemeji.. sasa nitakuwa naingilia mambo ya watu au vipi???
Ni nzuri sana hii.Sio kwamba ana msaada hivyo sister anajiweza hata peke yake
Kijana hana maisha yaani anachopata labda ni. Ile ukaribu wa kusema baba huyo basi
Juzi tu hapa Mzee kamchinja mtoto Arusha baada ya kujua si wakeWengi hawaoni hatari iliyopo.