Nawezaje kumwambia ukweli huyu shemeji yangu kuwa mtoto sio wake bila mgogoro?

We
We unamtaka huyo kaka? ... ila mWambie tu ukweli umuondolee presha ya uzeeni
 
Kausha amsaidie mtoto afike sehemu fulani.
Anatoa msaada πŸ˜›

Sio kwamba ana msaada hivyo sister anajiweza hata peke yake
Kijana hana maisha yaani anachopata labda ni. Ile ukaribu wa kusema baba huyo basi
 
We

We unamtaka huyo kaka? ... ila mWambie tu ukweli umuondolee presha ya uzeeni

Ila watu wa humu nimtake vipi mimi naona kiwingu tu huduma zenyewe akitoa ni 20k baada ya miezi3 sasa hapo ni nini kazi kubwa ni kumpost mtoto tu
 
Wengi hawaoni hatari iliyopo.
Jamaa akijua anaweza kuwauwa wote ninyi. Wapo watu wenye hasira za namna hiyo.

Na mimi ndio nakiwaza hiko tu na home anapajua kawaambia mpk ndugu zake yaani
 
dada jitahidi kubalance maisha yako achana na mambo ya dada yako subiri siku yako usimdanganye na ww mwanaume wako ila ukijifanya msamaria sana utaonekan ww ndo mbaya labda kma unamtamani mwanaume wa dada yako kwasababu wanawake na huruma bna ni vitu unseparatable
 
Mpe deadline dada yako amwambie ukweli huyo anayechunwa.

Ikifika deadline bila yeye kufanya hivyo mrudishie sista mtoto amlee mwenyewe.
 

Mmh mtu kusema ukweli ndio kumtaka mtu
 
Mpe deadline dada yako amwambie ukweli huyo anayechunwa.

Ikifika deadline bila yeye kufanya hivyo mrudishie sista mtoto amlee mwenyewe.

Na mimi nimemwambia hivyo yeye anasema ningoje amtafutie hela amlipe gharama zake sasa sijui anawaza nini hiki
 
Hance Mtanashati njoo huku (tea)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…