Ndani ya miezi 18 Rais Samia kakopa zaidi ya Trilioni 20

Kwa bimdashi tumelazwa darini na viatu wallah. Ngoja waneemeke walio karibu yake, ndivyo nchi masikini zilivyo.
 
Noma sana !
 
Pesa zinajenga petrol stations, singida big stars, zanzibar nk. Nyingine zinategemea urefu wa kamba za walaji
 
Bandali ya bagamoyo peke yake itazaa ideni tilion 25 mpaka 2030 mama atakuwa na den 50 tilion
 
Anamalizia Miradi ya jpm kwa variation ya 30% .halafu Honey burger wanakuja huku kusema mama anaupigia mwingi
 
Siyo wewe ulikuwa unabinuka binuka humu kwamba Magufuli ameifilisi nchi kwa mikopo na mama anaupiga mwingi?

Na bado hadi 2025 mtachanganyikiwa kabisa mavi nyie
Mama anakopo kama ana akili nzuri hivi wanaomsifia Hawaoni aibu .wakishaakopa wanagawana kihunihuni na kuja kujenga petrol station kila sehemu
 
Kazi iko safari. Lucas mwashamba anajua hili?
 
Usiwe taahira!

Umembiwa mama yako huyu kwa mwaka 1 na miezi 6 kakopa til. 20 huku mwenzie hela kama hiyo alikopa ndani ya miaka 6 bila kuweka matozo na makodi ya ajabu,

Bila mafuta kupanda wala bidhaa muhimu kupanda.
Alikopea vitu vya maana sasa raisi gani anakopa kwa ajili ya kujenga madarasa
 
Hehehee wacha wakope pess z kampbeni 2025 ni patashika
 
Inatakiwa tufikie deni la kiasi against GDP ndio tuwe katika katika line??
Pole Sana Hadi sasa Tanzania Ina mikopo ya Til.80 Kama ulikuwa hujui..

Mkopo unapimwa against GDP so kwa Kipimo hicho tuna GDP ya Dola Bil.72 sawa na Til.144 hivi so bado Yuko nyuma ya redline.
 
Tukope pesa kwa maendeleo ya Taifa, tusiogope madeni watanzania, usipodaiwa basi ujue una matatizo.
CCM oyeeee.
 
Watumishi kupandishwa mishahara na madaraja,kumalizia miradi yote ya kimkakati iliyoachwa na mwendazake,mikopo Kwa wanafunzi wa elimu ya juu na shughuli zote za kiserikali pia tukumbuke tozo tunalalama pesa za maendeleo tunatoa wapi?
Na kama huna uwezo wa kulipa huwezi kukopesheka ukiona tunakopeshwa jua tunaweza kulipa.(Tusisahau China imetusamehe madeni pia mwaka huu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…