Tume huru ni ya watu kutoka wapi🤔? Emb tow suggestion yako, juu ya upatikanaji wa tume huru.Sasa ulitaka wajitowe mpate kupeta kirahisi ???? Hamtaki Tume huru , tumeamua kumchinja kondoo atavyoelekea . Mwaka huu tutagawana mbao au muondoke tu
Hahahaha, inakuwa kama ile issue ya professor Asad (siku hizi anahudumu MUM), yaani waswahili tabu sana, wanakupamba ila siku mambo yakiwa mabaya huoni hata mmoja wa kuja kukusaidia. Lisu naweza sema uwezo wake wa kufikiri umeathirika sana, yaani anaishi kwenye buble, yaani Tanzania haijui na bado watanzania hawajui, hakuna hata mtu mmoja aliyenaye bega kwa bega, ila ni ushabiki tu wa kumsukuma mbele ili wapate pa kutokea wale wenye nia ovu, na mwisho wa siku ngoma anaicheza peke yake. Probably ataenguliwa kugombea na kushitakiwa
Kila wanachofanya NEC NA CCM WANAMPA MAILAGE Myampaa kwani amesema nn cha uongo au mzile ndo sheria sister, ndo maaana wanasema fanyeni kampeni za kistarabu, ukifanya kampeni unatakiwa uwe na adabu pia! tumia lugha nzuri kunadi sera zako na pia jitahidi kushawishi wananchi kwa uwezo wako wote ukitumia staha
sasa jamaa ana mdomo mchafu alafu anajiona kama ndo anajua sheria peke yake nchi nzima, ona yanayomkuta sasa, aende kujibu nec, akimaliza akikosa uraisi kuna kesi znamsubiri, kule wananchi wanataka kumpiga mawe uku kwingine wasiojulikana wanamweka target
Nami pia sijaona mgombea wa ajabu na asietumia "HAKILI?" km Magufuli.Sijaona mgombea waajabu na asietumia hakili km lisu
Wasio teuliwa na RaisTume huru ni ya watu kutoka wapi[emoji848]? Emb tow suggestion yako, juu ya upatikanaji wa tume huru.
Nashauri tume wamzuie kupiga kampeni kwa siku 30 au wamuengue
Sasa kwanini anaogopa mdahalo??sasa kwan ni uongo? lissu hajasoma HGE? magufuli hajasoma phd ya kemia? kwamba mnataka mmtetee hajasoma HGE ama? 😂 😂 😂
diploma ya kuandika imla😂 na mipasho
Mkuu rwamuli akikujibu nitag.Sasa kwanini anaogopa mdahalo??
Mapambio ya kanga hayo lissu anawapiga kura wengi 18 hadi 35 magufuli kakanwa na wazee vijana na rika la kaTi kabaki na wanafunzi wa msingi na sekondari ndio maana yeye na mkurugenzi wa. Uchaguzi wamepanic wanapumulia ju juuTundu hawajui watanzania, wafuasi wake ni zaidi ya wajumbe maana heri wajumbe wanapiga kura hao wa Tundu wanakaa nyuma ya keyboard kumjaza, wachache wanaenda kumtazama na wakati huohuo asilimia kubwa hawana hata vikatio
2810
Magufuli kajithibitishia alikuwa anapambwa kama ntukufu ndani ya mwezi tu watanzania wanamwona zimwi hawataki hata kumsikia analazimisha wanafunzi. Watoto. Professor Assad taifa kubwa yuleHahahaha, inakuwa kama ile issue ya professor Asad (siku hizi anahudumu MUM), yaani waswahili tabu sana, wanakupamba ila siku mambo yakiwa mabaya huoni hata mmoja wa kuja kukusaidia...
Mgombea wa CCM anaropoka kama kapaliwa na shahwhawaKwa taarifa yako Lissu ni vuvuzela tu anawadanganya watu kama nyinyi ambao uelewa wenu wa mambo ni zero!
Tume huru ni ya watu kutoka wapi🤔? Emb tow suggestion yako, juu ya upatikanaji wa tume huru.