Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Ikiwa hakuna sehemu yeyote ndani ya Tz tunaweza kupata mtu mwenye sifa za kuingia kwenye time,na ambae sio mnazi wa chama fulani,dhana ya time huru Ni ngumu sana kutekelezeka,hata kama hawatateuliwa na Rais. Otherwise watumike robots.

Hizo ni fikra zako na CCM tu . Upinzani wenye vyama vingi unataka tume iliyo huru. Hata Marehemu Mkapa alilisema hili

1601268504980.png
 
CCM mmeanza lini siasa za kuheshimiana hasa huyu mgombea wenu asie na breki mdomoni.

Polepole Jana kasema Lisu ni msukule je ndio siasa za kuheshimiana, Polepole kasema Lissu sio mwenzetu amepewa uraia na mabeberu hata watoto wake wamepewa uraia huko hizi ndio siasa za kuheshimiana.

CCM Sasa hivi mmepata mpinzani haswa, mkimpiga ngumi ya Jicho yeye anawapiga ngumi ya sikio, mkimuuliza unaonaje naye anawauliza mnajisikiaje.
 
Mabibi na mabwana ni muhimu tume ikakumbuka kuwa wagombea ni wa wananchi si wa tume.

Mengi yamevumiliwa lakini hayatavumilowa yote...
Kimsingi wagombea wote wamesaini na kujaza fomu ya kuheshimu na kutekeleza maadili ya uchaguzi kwa hyo Lissu anajua alichokosea ni nini kwa sababu wakati mwingine tuwe wakweli kwamba amekosea huu sio muda wa kutukana ni muda wa kunadi sera ili wananchi waamue Nani atafaa kuwa kiongozi wao sasa Kama mtu anaetaka kutushawishi tumpe ridhaa ya kuongoza nchi anafanya haya hivi kweli wananchi tutakua na Imani nae?

Tuache ushabiki wa kisiasa tuseme ukweli Kama mtu amekosea asemwe ili abadilike otherwise urais wa kupata kwa kutumia matusi kwa kweli watanzania hizo lugha ni ngumu kidogo madikioni mwetu hatujazoea
 
Malalamiko ya Tundu Lisu anapaswa kuyaelekeza ama kwa serikali au kwa bunge linaloisimamia serikali lakini siyo kwa Dr Magufuli kama mgombea...
Unaweza vipi kuitenga serikali ya awamu ya 5 na Magufuli.

Magufuli mwenyewe na wanaccm wenzake wanaaiita serikali ya Magufuli.

Wewe ni nani useme asielekezewe lawama yeye wakati toka mwanzo amejinasibisha na serikali kuwa mali yake.

Wacha apewe stahili yake
 
Hahaha mnamuombea poo?!

Anamshambulia mgombea mwenzake, sasa ataanzaje kuishambulia serikali?!

Serikali ni sote watanzania we vipi?!

Umeoa wapi mchezaji anakabana namashabiki na kuacha kukaba wachezaji wa team pinzani?!
 
Wagombea hawa wawili lazima walindwe

Mgombea urais kupitia chama cha CHADEMA apewe ulinzi wa kutosha ili asije shambuliwa tena.

Mgombea urais kupitia chama cha CCM apewe ulizi wa ziada siyo tu dhidi ya maadui bali hata dhidi yake mwenyewe yaani hasipate hata nafasi ya kula sumu ya panya au kujitundika. Tuna jambo letu naye, anatakiwa awepo hai ili atueleze kuhusu ayfuatayo:
  • ndugu zetu walio tekwa na kupotea
  • watu waliopigwa risasi
  • Watu wasio julikana
  • Upotevu wa fedha za umma
  • Gharama halisi za ununuzi wa ndege
 
Hizo ni fikra zako na CCM tu . Upinzani wenye vyama vingi unataka tume iliyo huru. Hata Marehemu Mkapa alilisema hili

View attachment 1583171
Nimekukubalia hilo wazo ni zuri, lakini tupate wapi watu wasiofungamana na upande wowote wa kisiasa🤔? Kwa mfano wewe ukiwekwa kwenye tume Ni lazima tu utakuwa upande wa CHADEMA, hata Kama ungechaguliwa na Magufuli,ambae yeye Ni CCM.
 
Ikiwa hakuna sehemu yeyote ndani ya Tz tunaweza kupata mtu mwenye sifa za kuingia kwenye time,na ambae sio mnazi wa chama fulani,dhana ya time huru Ni ngumu sana kutekelezeka,hata kama hawatateuliwa na Rais. Otherwise watumike robots.
Marekani wametoa watu wa tume mbinguni?
 
Malalamiko ya Tundu Lisu anapaswa kuyaelekeza ama kwa serikali au kwa bunge linaloisimamia serikali lakini siyo kwa Dr Magufuli kama mgombea...
Endelea kukata viuno kwanza baadaye kamtafute Askofu wako Gwajima
 
Attachments

  • Mauno CCM.mp4
    9.6 MB
Malalamiko ya Tundu Lisu anapaswa kuyaelekeza ama kwa serikali au kwa bunge linaloisimamia serikali lakini siyo kwa Dr Magufuli kama mgombea.

Lisu anapaswa kuzilalamikia sera za CCM kama anaona zimefeli maana kinachoshindanishwa sera za vyama siyo watu...
Lissu anakosoa sera sio mtu, anakosoa miundo ya taasisi ndio maana anasema atalifumua jeshi la polisi, Chadema itakuja na sera ya majimbo, ataimarisha uchumi wa kanda zote bila ubaguzi kama anaofanya Magufuli, anakosoa ujenzi wa ndege wa Chato kuwa hakufuata utaratibu, na umefanywa kwa upendeleo, kama kusema hivyo ni kumshambulia mtu basi anayehisi ameguswa atakuwa aliingilia maamuzi ya taasisi husika.
 
Nimekukubalia hilo wazo ni zuri, lakini tupate wapi watu wasiofungamana na upande wowote wa kisiasa🤔? Kwa mfano wewe ukiwekwa kwenye tume Ni lazima tu utakuwa upande wa CHADEMA, hata Kama ungechaguliwa na Magufuli,ambae yeye Ni CCM.

Kwa nini liliundwa Bunge la Katiba ?? lilipatikana vipi ??
 
Ikiwa hakuna sehemu yeyote ndani ya Tz tunaweza kupata mtu mwenye sifa za kuingia kwenye time,na ambae sio mnazi wa chama fulani,dhana ya time huru Ni ngumu sana kutekelezeka,hata kama hawatateuliwa na Rais. Otherwise watumike robots.
Hakuna anayetafuta 'Tume' toka kwa malaika. Jaribu kutumia akili kidogo alizokujaliya Mwenyezi Mungu.
 
Back
Top Bottom