Nzelu za bwino
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 400
- 484
Kwa akili hizi lazima useme una hela kuliko mimi [emoji116]Nna pesa kuliko wewe
Ni kesho tarehe 29/9/2020Salaam wana jamvi,leo ni Siku ambayo mgombea urais WA chama cha demokrasia na maendeleo anatakiwa kufika mbele ya kamati ya maadili.pamoja na mambo mengine yawezekana kamati ya maadili ikamkuta na kosa kulingana na kanuni za uchaguzi,kutokana na hill naomba NEC was one beak at any a kosa Kwa kumpa adhabu ya kumsimamisha kufanya kampeni.maana Kwa kufanya hivyo watakuawanamuongezeavumaarufu na nguvuvzaidi kwenye kampeni zinazoendelea.na wasilisha.
Mabibi na mabwana ni muhimu tume ikakumbuka kuwa wagombea ni wa wananchi si wa tume.
Mengi yamevumiliwa lakini hayatavumilowa yote...
Kwamba hao ndo hawatakuwa na ushabiki wa chama chochote cha siasa🤔?Wasio teuliwa na Rais
Bado haujajibu swali langu,ngoja nilibadilishe kidogo labda utalielewa. Hiyo time huru ichaguliwe kutoka wapi ili kuepuka unazi wa vyama vya kisiasa ndani yake? Maana ikitokea uteuzi hapa jf,tayari wewe ni lazima utakaa upande wa CHADEMA, Sasa hao watu wa tume tuwatoe wapi?Kumbe hata huru hujui maana yake? Muulize Jecha aliyechukua fomu za kugombea uraisi kupitia CCM , atakuambia
Ni kama mnacheza mechi , Yanga na Simba halafu Simba itoe mchezaji wake ndio awe Referee wa mechi , umeona wapi mambo hayo ???
Maskini!Mabibi na mabwana ni muhimu tume ikakumbuka kuwa wagombea ni wa wananchi si wa tume.
Mengi yamevumiliwa lakini hayatavumilowa yote...
NEC Kuanza kudeal na Lisu kipindi hiki nikumfanyia promo.Parasatic Mind
Ni ngumu sana kujibu hoja za Tundu lissu,kwa ufupi jamaa ana akili
Wamuulize Ana Makinda akiwa spika au Samia Suluhi wakati wa Bunge la katiba
Ni dhahiri Tundu lissu hakukariri darasani bali alielewa na ana exposure kubwa
Suala ni kujibu hoja za Kiwanja chato,Pesa za kununua ndege nani anazikagua na zilijadiliwa bungeni?
Kwanini Profesa Assad aliachishwa uCAG
Story hizo za NEC wanasababisha Tundu lissu kuwa na wafuasi wengi zaidi
CCM inasubiri mbeleko ya NEC na Wakurugenzi
Tatizo watu wana maisha magumu
Fujo na vurugu na Maandamano husababishwa na ugumu wa maisha
Venezuela huko tatizo watu maisha magumu
NEC inajichimbia shimo zaidi
Ongezeni mishahara na wekeni uhuru wa habari watu watawapenda
Tume ya uchaguzi inataka kuhatarisha amani ya nchi.
Bado haujajibu swali langu,ngoja nilibadilishe kidogo labda utalielewa.
Hiyo time huru ichaguliwe kutoka wapi ili kuepuka unazi wa vyama vya kisiasa ndani yake? Maana ikitokea uteuzi hapa jf,tayari wewe ni lazima utakaa upande wa CHADEMA, Sasa hao watu wa tume tuwatoe wapi..?
Usipotumia vizuri akili zako, kuna watu kwa kukusaidia watatumia akili zao kukuamulia!Wacha wampe adhabu ya kumsimamisha waone kama watu ndo watampenda magufuli. Wamenyima upinzani coverage ya media, kutumia chopper na hata posters kutoza kodi ili magufuli abaki peke yake,umeona wananchi wamempenda?kwanza watu wakiona picha sake barabarani wanasonya tu na kutukana. Zinaudhi mnoo badala ya kushawishi. Magufuli hapendeki hata kidogo. Wakimsimamisha watu ndo watamtafuta alipo kwa miguu. Magufuli katendea watu ubaya mkubwa. Yote haya yanayomkuta kuna damu na machozi ya MTU aliyedhulumiwa yanamliliaaaa.
Ninaposoma maandishi kama haya toka kwa mchangiaji kama huyu, ninaanza kuwa na matumaini makubwa juu ya Tanzania yetu.Kwa hii kasi ya Lissu inahitaji kifua kuivumilia naona CCM wameanza kushika shati baada ya kuzidiwa mbio.
Ile kauli ya Bashiru kuwa tutatumia Vyombo vya dola kubaki madarakani naona wamenza kuifanyia kazi...
Ikiwa hakuna sehemu yeyote ndani ya Tz tunaweza kupata mtu mwenye sifa za kuingia kwenye time,na ambae sio mnazi wa chama fulani,dhana ya time huru Ni ngumu sana kutekelezeka,hata kama hawatateuliwa na Rais. Otherwise watumike robots.Kwa hivyo hata Yanga na Simba wakicheza mechi , Simba wakichagua Referee itakuwa hatopendelea Simba ?? na Yanga waendelee kucheza tu ??
Hivi Jecha alipoutia mpira kwapani alipendelea timu gani ?? baadaye naye akachukua Fomu za kugombea uraisi kupitia CCM??
Muda utazungumza