Bwashee mmeshakalishwa ....TAIFA SASA LINAKWENDA NA LISU ...jiandaeni kufungashaKwa nyakati hizi kushughulika na Tundu Lisu kiserikali ni kumpa umaarufu asioustahili.
Kwa mfano Tundu Lisu akiitwa polisi leo media zote na wanasheria wote watahamia huko kuripoti habari zake iwe kwa ubaya au uzuri na hizo ndio kiki zenyewe zinazotafutwa.
Tundu Lisu angeachiwa komredi Polepole amdhibiti kisiasa maana ameonyesha kummudu sana.
Maendeleo hayana vyama!
Subirini mtaona nguvu ya umma.Moto gani kamanda acha mikwara ya kijinga
Lissu akienguliwa jpm atalala miguu juu, maana lissu anamkosesha usingizi hatariiNashauri tume wamzuie kupiga kampeni kwa siku 30 au wamuengue
Hahahaha hakamatikai na nini, mtu mwenyewe hatabkura za kutosha hana.Meko hali ni tia maji tia maji. Ameamua kushirikisha tume aliyoiteua imnusuru. Hata hivyo kachelewa. Lissu hakamatiki mida hii.
Sawa dingiUmeelewa vibaya
Inanikumbusha US senate na George Galloway (UK MP) kwa wakati ule juu ya scandal ya Aid for Oil ya Saddam wa Iraq. Walijutia kumuita!Nec wameamua waingie 18 za lissu natamani hayo mahojiano yawe live...
Wamebandika hio hapo mkuu.Huyu Lisu na Chadema nzima kwanini wagombea wao hawajabandika posters? Kama kuna sehemu umeona poster ya Lisu ikimnadi naomba upost hapa.
Bwashee huku gongolamboto zimebandikwa kila kona!Huyu Lisu na Chadema nzima kwanini wagombea wao hawajabandika posters? Kama kuna sehemu umeona poster ya Lisu ikimnadi naomba upost hapa.
Kwa sasa Lisu ni wa kupuuzwa tu!Bwashee mmeshakalishwa ....TAIFA SASA LINAKWENDA NA LISU ...jiandaeni kufungasha
Post mkuu.Bwashee huku gongolamboto zimebandikwa kila kona!
Wakibandika zinaondolewa mkuuHuyu Lisu na Chadema nzima kwanini wagombea wao hawajabandika posters? Kama kuna sehemu umeona poster ya Lisu ikimnadi naomba upost hapa.
We nyani huon kundule lako...hvi kuna mtu mropokaji kama jiwe.tatizo mlizoea ropo ya jiwe na hatimaye mkampa ufalme ndio shiddaIla jamaa anaropoka aisee hana breki , lolote linalokuja kichwani anaongea tu bila kudigest.
Mabeberu wepi? Wale wanaotufundishia polis wetu auNasikitika sana kuona tume inachezewa na huyu kibaraka wa mabeberu, wamuondoe tu,au wampotezee watanzania tutafanya yetu Oct.
Kwakweli katika katiba mpya tunataka muongozo. Bunge likishavunjwa nchi inapaswa kuongozwa na Jaji Mkuu mpaka baada ya uchaguzi.Very tricky. Rais kikatiba yupo na ni Magufuli. DEDs wapo na ni wateuliwa wa Rais. Ni rahisi hawa kusema walikuwa wakijadiri kazi.
Sijui ilikuwaje huu utaratibu wa DEDs kuratibu chaguzi.
Jamaa anajua kucheza na media kwa akili sanaAcha waendelee kumpiga chura teke, wanamrusha kwenye Vyombo vya habari wenyewe.
Kama unaogopa kutoa vitisho hata kwa jina bandia basi wewe ni HANITHI huna maana kwa jamii ya WATANZANIA bora mbegu ya baba yako ingeishia kwenye punyeto.Sasa watoa vitisho ukitumia jina la bandia ndo waona umetishia kwelikweli.
Wengine tunakuona wewe kama ndo vuvuzelaDouble standard kivipi? Hatujasikia wagombea wengine wakitaja majina ya wagombea wengine na kutoa taarifa za uongo kama vuvuzela Lissu!!