Comment ziwe fupi fupi tafadharini....
Swali langu la kwanza: Hivi ni kweli Lisu alisema asipotangazwa basi watanzania waingie barabarani? au alisema akishinda na asitanganzwe ndipo ataingiza watu barabarani? hizi kauli mbili tofauti na zina maana mbili tofauti.
Swali langu la pili: Mkurugenzi anapata wapi Confidence ya kumpiga mkwara Mgombea mwenye uelekeo wa kushinda urais ndani ya siku chache zijazo? hii ni kutokana na hali halisi ya mikutano ya wagombea mpaka sasa
Hivi kweli wewe unaamini Lissu Ana uelekeo wa kushinda?! Duh...halafu kwa maoni yangu kikubwa alichoitiwa Lissu ni kauli yake kuwa Wakurugenzi wote wa halmashauri wameitwa Dodoma kwenye mazungumzo na Rais..