Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Comment ziwe fupi fupi tafadharini....
Swali langu la kwanza: Hivi ni kweli Lisu alisema asipotangazwa basi watanzania waingie barabarani? au alisema akishinda na asitanganzwe ndipo ataingiza watu barabarani? hizi kauli mbili tofauti na zina maana mbili tofauti.

Swali langu la pili: Mkurugenzi anapata wapi Confidence ya kumpiga mkwara Mgombea mwenye uelekeo wa kushinda urais ndani ya siku chache zijazo? hii ni kutokana na hali halisi ya mikutano ya wagombea mpaka sasa

Hivi kweli wewe unaamini Lissu Ana uelekeo wa kushinda?! Duh...halafu kwa maoni yangu kikubwa alichoitiwa Lissu ni kauli yake kuwa Wakurugenzi wote wa halmashauri wameitwa Dodoma kwenye mazungumzo na Rais..
 
Nasikitika sana kuona tume inachezewa na huyu kibaraka wa mabeberu, wamuondoe tu,au wampotezee watanzania tutafanya yetu Oct.
Yaani Lissu anawaburuza sana hawa tume.

Yamekaa kama yote pale tume yanazidiwa akili na Lissu
 
Mkuu ndio ni neno dogo ila lenye mapana yake, binafsi silijui ndo maana nikaomba msaada naomba tafasili yake, binadam hawezi jua Mambo yote mkuu ,naomba tafasili ya hilo neno
Jiongeze chief usipende kutafuniwa.
 
Comment ziwe fupi fupi tafadharini....
Swali langu la kwanza: Hivi ni kweli Lisu alisema asipotangazwa basi watanzania waingie barabarani? au alisema akishinda na asitanganzwe ndipo ataingiza watu barabarani? hizi kauli mbili tofauti na zina maana mbili tofauti.

Swali langu la pili: Mkurugenzi anapata wapi Confidence ya kumpiga mkwara Mgombea mwenye uelekeo wa kushinda urais ndani ya siku chache zijazo? hii ni kutokana na hali halisi ya mikutano ya wagombea mpaka sasa

Kuna sida kubwa mahali.Mgombea wa CCM amesema na si mara moja au mbili kuwa watu wakichagua asiyekuwa CCM wasilamlaumu.Hii kali haijakemewa.

Ndugai amedai wanataka 2/3 ili wafanye watakalo,ni kauli ya kishari zaidi kuliko hekima kwa nchi ya vyama vingi.

Nahisi kuna hitilafu kubwa mahali ambayo inahitaji busara zaidi kuliko maguvu na vitisho.
 
Comment ziwe fupi fupi tafadharini....
Swali langu la kwanza: Hivi ni kweli Lisu alisema asipotangazwa basi watanzania waingie barabarani? au alisema akishinda na asitanganzwe ndipo ataingiza watu barabarani? hizi kauli mbili tofauti na zina maana mbili tofauti.

Swali langu la pili: Mkurugenzi anapata wapi Confidence ya kumpiga mkwara Mgombea mwenye uelekeo wa kushinda urais ndani ya siku chache zijazo? hii ni kutokana na hali halisi ya mikutano ya wagombea mpaka sasa

Mbona ameshawatisha tayari? Kwa body language yako tuu inaonesha mnavyoogopa
 
..amesema iwapo atashinda halafu asitangazwe.

..hivi ccm ikishinda halafu isitangazwe mtamuachia MUNGU?
Wacha uongo, kuna mengi tu ya kichochezo aliyosema, aende tu akajibu, sheria zipo ambazo tumejiwekea kama nchi huru. BTW akumbuke ingawa tupo kwenye uchaguzi Rais yupo na power zile zile aache kutingisha kiberiti.
 
CCM wameanza Kusaka mbeleko; maji mu shingo!! Mgombea hana uwezo wa kujenga na kujibu hoja.

NEC msitumike, watanzania washakata kauli kwamba CCM basi tena!! Kujaribu kuiokoa ni kujitafutia majanga ambayo watanzania hawataki kufika huko.
NECCCM Tumeccm ni chombo binafsi cha mtukufu mwenyekiti wa CCM hawafanyi kazi kwa mujibu wa Sheria na katiba
 
Nakwambia mwaka huu siyo 2015 ambapo Lowassa alisema tumuachie Mungu. Hii ni 2020 tutalinda kura wenyewe na tuta deal na DED au Mkueugenzi wa uchaguzi kwa nafasi yake binafsi. Its now or never, tukiwaachia mwaka huu hamtatoka milele.
Mkuu huna lolote- nakwambia kama una uwezo lianzishe- wewe nawe si una nafsi au?
 
Wacha uongo, kuna mengi tu ya kichochezo aliyosema, aende tu akajibu, sheria zipo ambazo tumejiwekea kama nchi huru. BTW akumbuke ingawa tupo kwenye uchaguzi Rais yupo na power zile zile aache kutingisha kiberiti.

..Je, ccm ikishinda, halafu tume isiwatangaze mtamuachia MUNGU?
 
Back
Top Bottom