Leo wakati anaongea na waandishi wa habari Arusha anamalizia kwa kusema "WATANZANIA WANAHITA KIONGOZI AMBAE ATADHITI MADINI YASITOROSHWE, KIONGOZI AMBAYE ATA JENDA ZAHANATI, BARABARA, NA KADHARIKA SIO BLABLABLA."
Tayari tushajua nimgombea wa chama cha ccm anaye jinasibu kwa Sera ya Barabara, Madini, Hospitality na Zahanati. Amesema. Wasiwalaghai watumishi.
Kwa maneno hayo, taya tumejua anaegamea kwa mteule wake anae mpa ugali. Ndo maana tunasema tumahitaji time huru isiochaguliwa na Rais. Na tulisha ambiwa na Raid mwenyewe, " NIKUPE MSHAHARA, GARI NA NYUMBA HALAFU UMTANGAZE MPIZANI KUSHINDA, SITAKUELEWA KABISA." Huyo ndo yule mwanzoni mwa mwaka huu alisema uchaguzi utakua huru ma wa haki. Kama hakukema ya serekali za mitaa, wagombea toka upinzani walipo enguliwa, na kinyume chake alifurahi sana chama chake kushinda kwa asilimia 98.
Na mgombea anaposema tutaibiwa, wana uzoefu wa ya 2015, 2010, 2000 Tanzania bara na Zanzibar. Maalim Self alipokonywa ushindi na Jecha 2015, kwahio rekodi ya ccm ni mbaya mno kwenye swala la uchaguzi. Nchi nzima watu walishajua na kujijengea na kukamatumaini ya wapinzani kushinda. Maana mtaani watu wana sema, wapinzani kushinda ni kazi, maana ccm itaiba kura tuu. Hats tukipiga kura, kushinda ni pagumu. Na ni kweli, majimbo yote wapinzani waliposhi, sio kwa urahisi, bali kwa mbinde kwelikweli.
2020, sio 2015, 2010, 2005, 2000 au 1995. Akiri za watu na uelewa hubadilika hata mtazamo. Wengi wameelimika na wanapata ufahamu zaidi. Upinzani sio vita, wala uvunjifu wa Amani. AMANI NI TUNDA LA HAKI, PASIPO HAKI, HUZAA VURUGU NA MWISHO VITA.
Serekali ilipo madarakani isipoebdeshe uchaguzi kwa HAKI na UHURU, Amani hutoweka vibaya mno.
Bony Marley alishawahi imba nyimbo, "YOU CAN FOOL PEOPLE SOME OTHER TIMES, BUT YOU CAN'T FOOL PEOPLE ALL THE TIME."
CCM read the SIGNS OF TIME. Kama mwaka huu mutapita salama, itabidi mufanye mageuzi makubwa ya vipau mbele vyenu. Because we gonna not be FOOLED AGAIN.