Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

SASA NIMEAMINI KUWA 'CCM BILA TUME NI HAMNA KITU' NA WALAHI TUME ISIPOFANYA KAMA HIVI KWA LISU AWAMU HII CCM HAITOBOI"
CCM ina mengi sana ya kuonyesha na kushawishi wapiga kura.Kosa kubwa la CCM ni kutokukubali makosa.Kauli ndogo na nyepesi kama "Tunakiri ya kuwa pametokea uvunjaji wa haki za binadamu kwa baadhi ya watu na hili tutashughulikia na kuwawajibisha wote waliohusika"
"Tunakiri ya kuwa mzunguko wa fedha umekuwa si mzuri lakini uta stabilize karibuni hasa baada ya kufanya 1,2,3"
Kauli za kuwaridhisha watu na kuwapa matumaini lakini inataka success tu bila challenges.
 
Ndiyo maana tuliwaambia akili kubwa wapo kwenye usukani wa kuongoza taifa, lisu anazidi kujikaanga kwa kauli zake mwenyewe, na kukaa sana kwa wazungu kumemfanya aone uanaharakati wa ubelgiji unaweza kuuhamishia africa. Na bado, nadhani atapata tabu sana.
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Kupotezeana muda tu. Kama Magufuli hajaitwa mbeba maono asiende... Tuone watamfanya nn.
Mwambie asiende! Hivyo hivyo mlimdanganya Kabendera, sasa yupo wapi? Mwambie Lissu asiende - yeye mziki wake anaujua hawezi kataa.
 
Leo wakati anaongea na waandishi wa habari Arusha anamalizia kwa kusema "WATANZANIA WANAHITA KIONGOZI AMBAE ATADHITI MADINI YASITOROSHWE, KIONGOZI AMBAYE ATA JENDA ZAHANATI, BARABARA, NA KADHARIKA SIO BLABLABLA."

Tayari tushajua nimgombea wa chama cha ccm anaye jinasibu kwa Sera ya Barabara, Madini, Hospitality na Zahanati. Amesema. Wasiwalaghai watumishi.

Kwa maneno hayo, taya tumejua anaegamea kwa mteule wake anae mpa ugali. Ndo maana tunasema tumahitaji time huru isiochaguliwa na Rais. Na tulisha ambiwa na Raid mwenyewe, " NIKUPE MSHAHARA, GARI NA NYUMBA HALAFU UMTANGAZE MPIZANI KUSHINDA, SITAKUELEWA KABISA." Huyo ndo yule mwanzoni mwa mwaka huu alisema uchaguzi utakua huru ma wa haki. Kama hakukema ya serekali za mitaa, wagombea toka upinzani walipo enguliwa, na kinyume chake alifurahi sana chama chake kushinda kwa asilimia 98.

Na mgombea anaposema tutaibiwa, wana uzoefu wa ya 2015, 2010, 2000 Tanzania bara na Zanzibar. Maalim Self alipokonywa ushindi na Jecha 2015, kwahio rekodi ya ccm ni mbaya mno kwenye swala la uchaguzi. Nchi nzima watu walishajua na kujijengea na kukamatumaini ya wapinzani kushinda. Maana mtaani watu wana sema, wapinzani kushinda ni kazi, maana ccm itaiba kura tuu. Hats tukipiga kura, kushinda ni pagumu. Na ni kweli, majimbo yote wapinzani waliposhi, sio kwa urahisi, bali kwa mbinde kwelikweli.

2020, sio 2015, 2010, 2005, 2000 au 1995. Akiri za watu na uelewa hubadilika hata mtazamo. Wengi wameelimika na wanapata ufahamu zaidi. Upinzani sio vita, wala uvunjifu wa Amani. AMANI NI TUNDA LA HAKI, PASIPO HAKI, HUZAA VURUGU NA MWISHO VITA.
Serekali ilipo madarakani isipoebdeshe uchaguzi kwa HAKI na UHURU, Amani hutoweka vibaya mno.

Bony Marley alishawahi imba nyimbo, "YOU CAN FOOL PEOPLE SOME OTHER TIMES, BUT YOU CAN'T FOOL PEOPLE ALL THE TIME."
CCM read the SIGNS OF TIME. Kama mwaka huu mutapita salama, itabidi mufanye mageuzi makubwa ya vipau mbele vyenu. Because we gonna not be FOOLED AGAIN.
 
Anasema kuna watu wanaamini kuwa wameshashinda na kutoa vitisho kwa Tume kuwa wasipotangazwa watavunja amani.

NEC kwani mnamjua atakaeshinda ni nani?
Mkurugenzi hajapata kusikia mgombea kusema wakichagua wengine wataona cha moto na hatapeleka Maendeleo maeneo yenye Viongozi wa Upinzani?Anajipangia jinsi ya kutubagua kwani yeye ameshashinda?
 
Why shouldn't I ...do all the members in this forum know each and every word you know?
That word has been used in this forum for a long time. I do not expect you to have missed it all these years.
 
This Guy Lisu ama kweli muovu kabisa. Ngoja tuone, he will end up kama wengine waliojaribu kuharibu amani yetu. Na kikubwa atabaki peke yake, hakuna mtanzania mwenye viashiria vya uvunjifu wa amani
Kaka kwani kipi kakifanya cha uvunjifu wa AMANI?
 
Kuna Maswali mawili hapa
1. Je Lissu ameshapewa barua ya kuitwa katika kamati hiyo ya maadili?
2Tume imejiridhishaje kuwa Lissu amefanya makosa ya kukiuka kanuni taratibu za uchaguzi?

Nimeuliza maswali haya Kwasababu Namfahamu Lissu katika mambo yanayohusu sheria. Harakati za Lisu katika hilo linaweza kumuongeza umaarufu maradufu endapo atapangua hoja zote
Hivi Lissu anawazidi wanasheria wote nchini? Mbona alishindwa kesi zake (kumbuka kesi yake ya kurudishiwa ubunge wake) ?
 
Anaweza kutuma mwanasheria wake au ndio yeye lazima aende huko?!
 
Nimejiongeza nimeshindwa mkuu ,na ndo maana nikaomba msahada ,kwani yapo maneno waweza yatumia kwa kufuata mkumbo ila mwisho ukakuta unae litumia neno husika bado linakuhusu , na Yule unaemtumia ujumbe halimhusu,au wote lawahusu, naomba maana ya hilo neno KUROPOKA
Hakuna cha bure comrade usipende kutafuniwa.
 
Lisu ukienda kumbuka kuvaa barakoa na glovu. Omba kiti alichokalia staff wa tume ndio ukalie.
 
Leo wakati anaongea na waandishi wa habari Arusha anamalizia kwa kusema "WATANZANIA WANAHITA KIONGOZI AMBAE ATADHITI MADINI YASITOROSHWE, KIONGOZI AMBAYE ATA JENDA ZAHANATI, BARABARA, NA KADHARIKA SIO BLABLABLA."

Tayari tushajua nimgombea wa chama cha ccm anaye jinasibu kwa Sera ya Barabara, Madini, Hospitality na Zahanati. Amesema. Wasiwalaghai watumishi.

Kwa maneno hayo, taya tumejua anaegamea kwa mteule wake anae mpa ugali. Ndo maana tunasema tumahitaji time huru isiochaguliwa na Rais. Na tulisha ambiwa na Raid mwenyewe, " NIKUPE MSHAHARA, GARI NA NYUMBA HALAFU UMTANGAZE MPIZANI KUSHINDA, SITAKUELEWA KABISA." Huyo ndo yule mwanzoni mwa mwaka huu alisema uchaguzi utakua huru ma wa haki. Kama hakukema ya serekali za mitaa, wagombea toka upinzani walipo enguliwa, na kinyume chake alifurahi sana chama chake kushinda kwa asilimia 98.

Na mgombea anaposema tutaibiwa, wana uzoefu wa ya 2015, 2010, 2000 Tanzania bara na Zanzibar. Maalim Self alipokonywa ushindi na Jecha 2015, kwahio rekodi ya ccm ni mbaya mno kwenye swala la uchaguzi. Nchi nzima watu walishajua na kujijengea na kukamatumaini ya wapinzani kushinda. Maana mtaani watu wana sema, wapinzani kushinda ni kazi, maana ccm itaiba kura tuu. Hats tukipiga kura, kushinda ni pagumu. Na ni kweli, majimbo yote wapinzani waliposhi, sio kwa urahisi, bali kwa mbinde kwelikweli.

2020, sio 2015, 2010, 2005, 2000 au 1995. Akiri za watu na uelewa hubadilika hata mtazamo. Wengi wameelimika na wanapata ufahamu zaidi. Upinzani sio vita, wala uvunjifu wa Amani. AMANI NI TUNDA LA HAKI, PASIPO HAKI, HUZAA VURUGU NA MWISHO VITA.
Serekali ilipo madarakani isipoebdeshe uchaguzi kwa HAKI na UHURU, Amani hutoweka vibaya mno.

Bony Marley alishawahi imba nyimbo, "YOU CAN FOOL PEOPLE SOME OTHER TIMES, BUT YOU CAN'T FOOL PEOPLE ALL THE TIME."
CCM read the SIGNS OF TIME. Kama mwaka huu mutapita salama, itabidi mufanye mageuzi makubwa ya vipau mbele vyenu. Because we gonna not be FOOLED AGAIN.
NKURUGENZI NDIO NINI?. HEBU ONENI HII NYAU. STUPID MIND
 
Mayanga ndiyo kitu gani? Yule wa National Housing alitumbuliwa kwa conflict of interest😎😎😎
Mayanga ni kampuni ya ujenzi inamilikiwa na jamaa ambaye ameoa nyumba moja na jiwe na ndio iliyojenga chato airport
 
Hivi samahani anayesema kwamba ukichagua upinzani maendeleo sitaleta na anayesema maded wameitwa kwa ajili ya kupewa maelekezo nani ni mvunjifu wa Amani ati au ndo upofu wa kisiasa...
 
Hivi samahani anayesema kwamba ukichagua upinzani maendeleo sitaleta na anayesema maded wameitwa kwa ajili ya kupewa maelekezo nani ni mvunjifu wa Amani ati au ndo upofu wa kisiasa.
 
Back
Top Bottom