Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Ndivyo mlivyomshughulikia kwa marisasi ila aliye juu kawaumbua... iniquity haijawahi shinda
Sasa hivi tunamshughulikia tarehe 28/10/2020 kwenye sanduku la kura!
 
Si mlisema risasi 36 zimepungua tena?

Sasa unaona hizo ni kidogo , ?? Kwa uwezo wake Allah , mumeshindwa kumuuwa na amemrejesha aje apiganie wanyonge.

Mwache awapigishe mchaka mchaka mpaka muelewe hapo Oktoba 28
 
Sasa unaona hizo ni kidogo , ?? Kwa uwezo wake Allah , mumeshindwa kumuuwa na amemrejesha aje apiganie wanyonge.

Mwache awapigishe mchaka mchaka mpaka muelewe hapo Oktoba 28
Hawezi huyo sana sana atawaumiza nyinyi halafu atakimbia kwenda Ubelgiji.
 
Sasa hivi tunamshughulikia tarehe 28/10/2020 kwenye sanduku la kura!

Tokea lini CCM kujua sanduku la kura ?? si mnasema wenyewe mnaweka magoli ya mikono? Mwaka huu hata magoli ya makalio hamna nafasi ya kuyaweka , NDUIO MWISHO WENU KUFA AU KUPONA TUTAGAWANA MBAO
 
Huyu mkurugenzi neck ni msomi asiyejiewaga, mwoga mwoga, jerry muro alimtikita alipokuwa arumeru, sasa hayupo huru hana confidence, no mpokea maelekezo tu, mtaona
 
KILICHOFANYIKA NI KWAMBA MKUTANO WA RAISI NA WAKURUGENZI UMESITISHWA SIO KWAMBA HAUKUWAPO KABISA. HIVYO HABARI YA TUNDU LISU ILIKUWA NI YA KWELI

Game ya term hii inahitaji akili Nyingi kuliko Nguvu Nyingi,Maana Kila Mtu anataka afute Machozi yake.Unaweza kuta ndani ya zizi Kuna Kupe
 
Kidagaa kimewakaba mipress 24/7 na sasa mnaishirikisha tume rasmi... This time around mmepatikana... Nchi si yenu hii
Haya ni yenu ngoja tusubiri akikataa kwenda Tume tuone matokeo.
 
Waanze kujiita wenyewe hao Tume . Wao ndio wavunjaji wakubwa wa maadili.
Comrade nchi haiongozwi kwa matakwa yako . Ndio keshaitwa tundu Lissu akajibu tuhuma zake za kuropoka ovyo.
 
..ufundi wa sheria ni ktk mazingira ambapo kuna muamuzi au hakimu aliye huru.

..sasa huyu mkurugenzi inajulikana kuwa ni kada, na ushahidi huo uko documented.

..tume nzima walitakiwa wajiuzulu kwasababu hawana "udhu" wa kusimamia uchaguzi ulio huru, na wa haki.

Mkuu hivi wafahamu kwamba hadi sasa Donald Trump kafanya teuzi mbili ambazo zina utata?

Kwanza kamteua jamaa yake awe mkuu wa posta ili adhibiti kura kwa njia ya posta.

Maana yake Republicans wamenusa kitu kule posta.

Pili, juzi kamteua mwanamama ambae wanafahamiana ili awe jaji mkuu.

Maana yake ni kwamba kukiwa na "chellenge" mahakamani kutoka kwa Democrats basi huyu mama atatupia malalamiko kwenye dust bin na Trump ataenda kuapishwa.

Sasa wao wamarekani ukiwapa reference kama hizi hawawezi kubisha kuhusu uchaguzi ulo huru.

Hizi tume chunguza kote duniani uje kuniambia kwamba zote ni tume huru na hazipo kwa maslahi mapana ya mataifa yao.

Hakutatokea tume huru ambayo itaruhusu mnayotaka ninyi kwamba ni lazima ushindi upatikane hata kama wananchi wanakataa kwenye boksi ya kura.
 
Hawezi huyo sana sana atawaumiza nyinyi halafu atakimbia kwenda Ubelgiji.

Na aende hata Chato lakini mtakiona mwaka huu , na ni bora hilo jiwe lenu likakimbilia Kigali mapema kabla Oktober 28
 
Kwa sababu tu chama/sacos ya ukoo imegonga mwamba? tanzania kwanza mengine baadaye.

..siyo kweli.

..mfumo wetu wa uchaguzi, pamoja na tume, ni taabu tupu.

..wagombea wengi wa vyama vya siasa wameenguliwa kwasababu za hovyo-hovyo.

..kuna jimbo kama Misugwi mgombea ubunge, na wagombea udiwani wote wa cdm, wameenguliwa.

..tusijenge mazingira wananchi wakakosa imani na demokrasia yetu.

..vyama vya upinzani vinajitahidi.
 
Mkuu hivi wafahamu kwamba hadi sasa Donald Trump kafanya teuzi mbili ambazo zina utata?

Kwanza kamteua jamaa yake awe mkuu wa posta ili adhibiti kura kwa njia ya posta.

Maana yake Republicans wamenusa kitu kule posta.

Pili, juzi kamteua mwanamama ambae wanafahamiana ili awe jaji mkuu.

Maana yake ni kwamba kukiwa na "chellenge" mahakamani kutoka kwa Democrats basi huyu mama atatupia malalamiko kwenye dust bin na Trump ataenda kuapishwa.

Sasa wao wamarekani ukiwapa reference kama hizi hawawezi kubisha kuhusu uchaguzi ulo huru.

Hizi tume chunguza kote duniani uje kuniambia kwamba zote ni tume huru na hazipo kwa maslahi mapana ya mataifa yao.

Hakutatokea tume huru ambayo itaruhusu mnayotaka ninyi kwamba ni lazima ushindi upatikane hata kama wananchi wanakataa kwenye boksi ya kura.

Usidanganye watu JF, Hivi posta na huyo huyo mwanamama ndio Tume ya Uchaguzi ya Marekani ?? Unapakazia kama uko maskani ya ;Lumumba ukiwakaranga makada wako ??
 
Back
Top Bottom