Sasa hivi tunamshughulikia tarehe 28/10/2020 kwenye sanduku la kura!Ndivyo mlivyomshughulikia kwa marisasi ila aliye juu kawaumbua... iniquity haijawahi shinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi tunamshughulikia tarehe 28/10/2020 kwenye sanduku la kura!Ndivyo mlivyomshughulikia kwa marisasi ila aliye juu kawaumbua... iniquity haijawahi shinda
Si mlisema risasi 36 zimepungua tena?
Kidagaa kimewakaba mipress 24/7 na sasa mnaishirikisha tume rasmi... This time around mmepatikana... Nchi si yenu hiiSasa hivi tunamshughulikia tarehe 28/10/2020 kwenye sanduku la kura!
Hawezi huyo sana sana atawaumiza nyinyi halafu atakimbia kwenda Ubelgiji.Sasa unaona hizo ni kidogo , ?? Kwa uwezo wake Allah , mumeshindwa kumuuwa na amemrejesha aje apiganie wanyonge.
Mwache awapigishe mchaka mchaka mpaka muelewe hapo Oktoba 28
Sasa hivi tunamshughulikia tarehe 28/10/2020 kwenye sanduku la kura!
KILICHOFANYIKA NI KWAMBA MKUTANO WA RAISI NA WAKURUGENZI UMESITISHWA SIO KWAMBA HAUKUWAPO KABISA. HIVYO HABARI YA TUNDU LISU ILIKUWA NI YA KWELI
Haya ni yenu ngoja tusubiri akikataa kwenda Tume tuone matokeo.Kidagaa kimewakaba mipress 24/7 na sasa mnaishirikisha tume rasmi... This time around mmepatikana... Nchi si yenu hii
Comrade nchi haiongozwi kwa matakwa yako . Ndio keshaitwa tundu Lissu akajibu tuhuma zake za kuropoka ovyo.Waanze kujiita wenyewe hao Tume . Wao ndio wavunjaji wakubwa wa maadili.
..ufundi wa sheria ni ktk mazingira ambapo kuna muamuzi au hakimu aliye huru.
..sasa huyu mkurugenzi inajulikana kuwa ni kada, na ushahidi huo uko documented.
..tume nzima walitakiwa wajiuzulu kwasababu hawana "udhu" wa kusimamia uchaguzi ulio huru, na wa haki.
Hawezi huyo sana sana atawaumiza nyinyi halafu atakimbia kwenda Ubelgiji.
Ipo sikukelele za kwenye keyboard
Wacha uongo zilikuwa njama zenu soma hapa chini.Sasa unaona hizo ni kidogo , ?? Kwa uwezo wake Allah , mumeshindwa kumuuwa na amemrejesha aje apiganie wanyonge.
Mwache awapigishe mchaka mchaka mpaka muelewe hapo Oktoba 28
Hamjawahi kushinda kwa hoja mujarabuHaya ni yenu ngoja tusubiri akikataa kwenda Tume tuone matokeo.
Kwa sababu tu chama/sacos ya ukoo imegonga mwamba? tanzania kwanza mengine baadaye.
Hakuna loloteHaya ameyataka mwenyewe! Ngoja tusubiri tena wamemlea muda mrefu sana!
Mkuu hivi wafahamu kwamba hadi sasa Donald Trump kafanya teuzi mbili ambazo zina utata?
Kwanza kamteua jamaa yake awe mkuu wa posta ili adhibiti kura kwa njia ya posta.
Maana yake Republicans wamenusa kitu kule posta.
Pili, juzi kamteua mwanamama ambae wanafahamiana ili awe jaji mkuu.
Maana yake ni kwamba kukiwa na "chellenge" mahakamani kutoka kwa Democrats basi huyu mama atatupia malalamiko kwenye dust bin na Trump ataenda kuapishwa.
Sasa wao wamarekani ukiwapa reference kama hizi hawawezi kubisha kuhusu uchaguzi ulo huru.
Hizi tume chunguza kote duniani uje kuniambia kwamba zote ni tume huru na hazipo kwa maslahi mapana ya mataifa yao.
Hakutatokea tume huru ambayo itaruhusu mnayotaka ninyi kwamba ni lazima ushindi upatikane hata kama wananchi wanakataa kwenye boksi ya kura.
Yaani mbona mnachelewa!?Na aende hata Chato lakini mtakiona mwaka huu , na ni bora hilo jiwe lenu likakimbilia Kigali mapema kabla Oktober 28