Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

NEC ndio chombo kinachohusika na uchaguzi, ni vizuri waachwe wafanye kazi yake.

POVU LA NINI SASA WAKATI BADO HATA HAJAENDA HUKO ALIKOITWA???
 
Tundu Lissu Unavoenda hakikisha unakua makini maana wasije wakakuekea sumu mzee baba hao watu sio wema kabisa kwako.
 
Wanaweza kuwa na malalamiko lakini hii ndio chance kwao Dodoma kukutana na NEC uso kwa uso.

..mwaka 2015 cdm walikuwa na rufaa 11 za ubunge, na 71 za udiwani.

..mwaka 2020 cdm wamewasilisha rufaa 49+ za ubunge, na 600+ za udiwani.

..hivi kweli unadhani ktk Rufaa za CDM, HAKI imetendeka, na imetendeka kwa WAKATI?
 
Mwambie asiende! Hivyo hivyo mlimdanganya Kabendera, sasa yupo wapi? Mwambie Lissu asiende - yeye mziki wake anaujua hawezi kataa.
Hahahaha, inakuwa kama ile issue ya professor Asad (siku hizi anahudumu MUM), yaani waswahili tabu sana, wanakupamba ila siku mambo yakiwa mabaya huoni hata mmoja wa kuja kukusaidia. Lisu naweza sema uwezo wake wa kufikiri umeathirika sana, yaani anaishi kwenye buble, yaani Tanzania haijui na bado watanzania hawajui, hakuna hata mtu mmoja aliyenaye bega kwa bega, ila ni ushabiki tu wa kumsukuma mbele ili wapate pa kutokea wale wenye nia ovu, na mwisho wa siku ngoma anaicheza peke yake. Probably ataenguliwa kugombea na kushitakiwa
 
Mavi ya mbuzi,
Aenguliwe?
Thubutu muune mziki wa watanzania hata kabla ya tarehe 28
 
TUNDU LISSU AWE MAKINI SANA ANAPOENDA KWENYE HIYO KAMATI. BARABARANI NDIO KABISAAA WAZIDISHE UMAKINI WAKATI WOTE WA KWENDA NA KURUDI. YULE MTU WA CAMERA AWEPO WAKATI WOTE.
 
Hapo Tume wanaanza kuonyesha viashiria vya kuharibu uchaguzi,wao walitakiwa kuendelea kuwakumbusha wagombea kwamba waendelee kuheshimu sheria za uchaguzi.wakimuita Lisu,wajiandae kudharirika maana anazo pia records za mikutano ya Wagombea wemgine na maneno amabyo yanafanana na hayo hayo ya Yeye
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa...
Kama askari alie vitani tuliyategemea, tutayakabili
1601230437522.png
 
Sasa ulotakiwa fisi waachiwe ili wafanye kama walivyofanya kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa.

Safari hii, watanzania ni lazima washiriki uchaguzi. Watafuata sheria za uchaguzi, na maigizo ya makada wa CCM wanaofanyia kazi zao ndani ya ogiai za Tume...
Ni teknolojia gani itatumika kusoma mioyo ya watendaji wa tume ili tupate wasiofungamana na chama chochote?
 
Hahahaha, inakuwa kama ile issue ya professor Asad (siku hizi anahudumu MUM), yaani waswahili tabu sana, wanakupamba ila siku mambo yakiwa mabaya huoni hata mmoja wa kuja kukusaidia. Lisu naweza sema uwezo wake wa kufikiri umeathirika sana, yaani anaishi kwenye buble, yaani Tanzania haijui na bado watanzania hawajui, hakuna hata mtu mmoja aliyenaye bega kwa bega, ila ni ushabiki tu wa kumsukuma mbele ili wapate pa kutokea wale wenye nia ovu, na mwisho wa siku ngoma anaicheza peke yake. Probably ataenguliwa kugombea na kushitakiwa
Tundu hawajui watanzania, wafuasi wake ni zaidi ya wajumbe maana heri wajumbe wanapiga kura hao wa Tundu wanakaa nyuma ya keyboard kumjaza, wachache wanaenda kumtazama na wakati huohuo asilimia kubwa hawana hata vikatio
2810
 
Ni teknolojia gani itatumika kusoma mioyo ya watendaji wa tume ili tupate wasiofungamana na chama chochote?
Kila mwananchi ana haki ya kuwa na imani kwenye chama, uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa
 
Wanacheza ngoma ya Lissu bila kujijua, yaani niamini siasa ni sayansi.
 
Mara nyingine hata kama nyie ni matatumbeta ya Lumumba muwe mnatumia akili zenu!! Una akili ya kuandika humu lakini huwezi kuona UKIUKWAJI mkubwa wa KANUNI za kampeni na MAGUGULI?

Mtu mwenyewe unaitwa Mugabe one sasa tukujibu nini wakati umerithi jina lenye laana
Ulaniwe!!
 
Back
Top Bottom