Nguvu ya no reforms no election na ushindi wake mitandaoni dhidi ya CCM, ni picha halisi ya jinsi CCM huiba kura!

Hata kwa miujiza ya majini, hili likitokea tena ndani ya nchi hii, Mungu atakuwa ametutupa mkono kiajabu sana. Taifa hili halina sababu hata moja ya kumfanya Mungu alipitishe katika laana ya aina hiyo.
Laana mnayo nyinyi wanaharakati mnaoibuka mwaka wa uchaguzi na kuongea vitu ambavyo hamna uhakika navyo.

Kila mradi alioucha JPM muda huu kama haumaliziki upo katika hatua za mwishoni, Nyinyi ni mashujaa wa nyuma ya keyboard bendera hufuata upepo.

Mapambano yenu yanaanza na kuishia kwenye laptop na simu zenu.
 
No reforms no election
 
Utekaji upo kabla hata Samia hajaingia ikulu, upo tangu awamu ya Nyerere na Mkapa. Ni suala linalotisha lakini halina uhusiano wa moja kwa moja na siasa za nchi, zipo sababu nyingi za watu kuuana na kutekana.

Huna ushahidi wa rasilimali za nchi kugawiwa kwa watu wachache, msingi wa maneno hayo ni chuki dhidi ya uislam na jinsia ya Samia, hakuna ukweli wowote kwenye huo upuuzi.

Hakuna mtu anayegawa rasilimali bure, makampuni makubwa yanashinda tender kwa uwezo wa ufanisi yanayokuwa nayo sio kwa vigezo vya kipuuzi vya asili yao.

DP World alishinda tender bandarini kwa ukubwa wa kampuni yao na kwa maslahi mapana ya kibiashara ya ukanda huu mzima, haya kuyaelewa mpaka uwe na upeo mpana na usiwe mmoja wa wale wanaochagua upande wa chuki za kijinga za mitandaoni.

Aje mwarabu kufanya biashara kwenye eneo ambalo sisi hatuna utaalam nalo au tuendelee kubakia na umaskini ule ule?.

Samia asingetafuta uwekezaji bado sisi wapiga kelele tungeendelea kulalamika kwamba hajafanya lolote, wenye upeo mdogo kama nyinyi mnasomwa mitandaoni na mnapuuzwa tu.
 
Kwa yale yaloyotokea jana Dodoma, ni kiashiria kingine cha CCM kuchokwa mno na haitakiwi

Tafadhari, mizani iwekwe sawa, asubuhi na mapema Chadema itaingia Ikulu
 
Kwa yale yaloyotokea jana Dodoma, ni kiashiria kingine cha CCM kuchokwa mno na haitakiwi

Tafadhari, mizani iwekwe sawa, asubuhi na mapema Chadema itaingia Ikulu
Haiwezi kuingia ikulu kwa hizi mbwembwe za humu JF na hao wanaojaa kwenye mikutano, asilimia 90 hao siku ya uchaguzi wanashinda majumbani mwao wakifuatilia habari utadhani sio wao walioshiriki amsha amsha wakati wa kampeni.

Wapiga kura wa CCM wapo milioni 13.5 na huwezi kuwaona humu mitandaoni wanazo shughuli za kufanya, siku ya kupiga kura wanamaliza kazi mapema sana.
 
Kutegemea mitandao kushinda uchaguzi kwenye taifa lililo na watu zaidi ya milioni sitini na watu wasiozidi milioni tano mtandaoni ni ndoto za alinacha.
Sorry umesema watu milion 5 tu ndio wako mtandaoni? Mbona taarifa aliyotoa mhe wazir jerry slaa kuhusu idadi hiyo inakupinga?

Idadi ni kubwa almost nusu ya population iko mtandaoni
 
Wapo sana mtandaoni, kwa taarifa ya matumizi ya mtandao kwa idadi ya sasa wengi sana wamo

So kiila anaekuwepo mtandaon hana kazi za kufanya
 
Sorry umesema watu milion 5 tu ndio wako mtandaoni? Mbona taarifa aliyotoa mhe wazir jerry slaa kuhusu idadi hiyo inakupinga?

Idadi ni kubwa almost nusu ya population iko mtandaoni
Sio kweli, hizi kelele zipo kwenye miji michache sana. Wapiga kura halisi sio hawa wanaoendekeza utoto humu JF na kule instagram.
 
Hizi n8 njama zilezile za wizi wenu wa kura

Unamaanisha, wale wanajaa mikutano ya ccm ndio wapiga kura na wengine wote wanao kwenda mikutano ya upinzani si wapiga kura?

stupid
 
Hizi n8 njama zilezile za wizi wenu wa kura

Unamaanisha, wale wanajaa mikutano ya ccm ndio wapiga kura na wengine wote wanao kwenda mikutano ya upinzani si wapiga kura?

stupid
Kura ni siri ya mtu na sanduku linalokuwa mbele yake. Usidanganyike na kampeni hata siku moja.

Waulize wale wanaoweka nia za kuwa wabunge ambao wanaambulia kura mbili au tatu, wakati wa kampeni wanachekewa na kila mtu siku ya uchaguzi hawaamini kile wanachokipata.
 
Sio kweli, hizi kelele zipo kwenye miji michache sana. Wapiga kura halisi sio hawa wanaoendekeza utoto humu JF na kule instagram.
Sio kweli based on what kaka?
Unajua asilimia ngapi ya vijana wako online kwa sasa?

Hizo kelele si miji michache, ni vile cdm haina budget ya kumfikia kila mtu ila so far likija suala la social media wamekuja tofauti sana
 
Uzoefu wa siasa niliona ni mkubwa, miaka 30 nipo kwenye haya masuala ninayajua vilivyo.

Hizi harshtags zisikudanganye, unapokuja uchaguzi halisia hutamuona hata mmoja katika haws wanaoshinda wakiandika hizi slogans.
 
Kura ni siri ya mtu na sanduku linalokuwa mbele yake.
Hii pointi ni kama mtu unaakili mingi sana

Ila sasa unapo sema wanaojaa mikutano ya wapinzani si wapiga kura ukiwa na maana ya wanaojaa mikutano yenu tu ndio wapiga kura, unaonekana ni bonge la mccm mjinga mno

No reforms no election
 
Uzoefu wa siasa niliona ni mkubwa, miaka 30 nipo kwenye haya masuala ninayajua vilivyo.

Hizi harshtags zisikudanganye, unapokuja uchaguzi halisia hutamuona hata mmoja katika haws wanaoshinda wakiandika hizi slogans.
Wewe unajua unaongea na mtu wa miaka mingapi?

Mimi nimekuwa ccm kabla hata ya wazazi wako mkuu
 
Bila kubadiki mfumo wa uchaguzi hakuna uchaguzi.

Hii kitu imebamba ni balaa!! CCM tumieni mbinu nyingine ile ya kumvamia mzee wa Ubwabuwa Spunda kutengeneza chama mamkuki nayo imebuma.

SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU.

NO REFORMS NO ELECTION
 
Hii pointi ni kama mtu unaakili mingi sana

Ila sasa unapo sema wanaojaa mikutano ya wapinzani si wapiga kura ukiwa na maana ya wanaojaa mikutano yenu tu ndio wapiga kura, unaonekana ni bonge la mccm mjinga mno

No reforms no election
Kura ni siri, CCM inajua namna ya kuzitafuta kura. Miaka minne inayokuwa katikati ya uchaguzi mmoja na mwingine wabunge wao wanakuwa kazini karibu na wananchi na hao ndio wapiga kura.

Usidanganywe na hizi amsha amsha za mitandaoni, wengi wao hawapo karibu na maisha ya mtu wa kawaida anayekuwa sehemu ya mikutano ya wabunge na wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…