Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Du pole sana mkuu. Ila tangu mwanzo ungeongea kiswahili cha kikenya wasingekushtukia na kwa upande wa chief kwa kuwa Izebania ni mbali na Nairobi, ungeropoka jina lolote lile eg Titus Paul (tpaul), Marwa Chacha, etc. (Izebania wanakaa Wakurya). Tatizo ni pale uliposita baada ya kuulizwa jina la Chief . MP wa wakati ule akikuwa Dr Machaki. Sasa hv MP ni Eng. Shadrack Manga (Huyu aliwahi kuwa MP siku za nyuma kwa tiketi ya KANU).
 
Ana mambo mengi mkuu, kifupi sio wife material
Sio wewe tu mkuu. Tupo wengi sana. 80% ya wanandoa wamo kwenye ndoa ambazo sio sahihi....wanajuuuuta kwa ninj walioa. Mimi Mungu akinirejesha kuwa mvulana leo, naenda monstery kusomea UPADRI. Taabu yote ya nini bhana! Mapadre wanaishi maisha ya raha sana hadi nawaonea ghere I see!
 
Course gani mnajuta kuzisomea ili iwe msaada kwa walio nyuma yenu
 
Daah najuuta kubalehe kiukweli,maana nlipofika form3 nlipata majanga ambayo katu sitokaa niyasahau haki ya nan!! Wangekua wana rewind umri ningefanya hivo kufuta lile kosa.ilintesa sana sanaaa
NAJUTA KUSOMA FANI AMBAYO SIJAWAH ATAKUIFIKIRIA MAISHAN MWANGU daah
 
Kumbe tupo wengi Pole sana njoo tuuze mkaa huku
Acha tu juzi nlikutana na mkaka mmoja akawa anaongelea ishu za ifm nkamwambia ukisoma tax akasema ndio nkasema hyo course n majanga akacheka akasema mbna nzur tu haina Shida nkamwambia hata kupata field kazi akasema ajira zipo nyng makapun kibao na sa hv npo field TRA hapa mwanza na nliomba hapa hapa nkamwambia hata mm nlifanya field TRA kama we tena miaka miwli so ucjpe moyo subr umalize ndo utajua ..najuta najuta Mara mia maana hii course unaambiwa huwezi kuwa mhasibu sababu maalum hakuna na wakati accounts tumeisoma had mwsho loooh
 
Najutia sana mahusinao yangu, sijawahi kupata single. Kila anaekuja ni mme wa mtu tena nakuja kujua badae sana naamua kugive up. Najilaumu sana wapi nilipokosea jamani. Hadi sasa nimeamua kutulia tu.
Una agano la kuvunja labda uliwahi kumkebei MTU or something like that
 
I can imagine. Bali Mungu anajua kwa nini aliruhusu litokee cha msingi 'sahau' na u focus ktk maisha mapya you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…