Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

Wanasemaga c ukubali yaishe?
 
Sio mbaya kuonyesha uwezo wako mbele za watu, ila kuwa makini kwani wengine si wema.
[emoji117]Uwezo in term of[emoji117]
[emoji117]Akili,kipaji,kazi au hata mafanikio
Imenikuta hii, na nimejifunza aisee. Hope nitachomoka katika hilii
Huwa nataman nisingefanya gradu form 4
 
Huwa nataman nisingefanya gradu form 4
mi yamenikuta mpaka elimu ikaishia nyumbani, nimekua jobless maisha hayasomeki ila huwezi amini ukiwa na akili unazo tu hazijifichi...
The 48 law of power : Rule 1 Never outshine the master

Make your masters appear more brilliant

- Huwezi amini kuna mambo makubwa nmeyafanya pamoja na kulostika huko, ambayo kwa mawazo na utekelezaji watu yamefanikiwa kaa kiasi kikubwa! kama ni marks 100 mambo ambayo yalihitaji vichwa hata 30 mimi mwenyewe niliyapanga yakakaa sawa .. na imeniweka tena kwenye target.
ukiwa na kitu ndani yako huwa kipo tu, hata ukitupwa kwenye matakataka utang'ara ijapo nafasi ya kung'aa mana umezaliwa intelligent hio haifutiki
 
Nakuelewa Sana madam princess ariana, hata Kama wataificha Sana ila mwisho watashindwa
 
Kubeti ndani ya miez 2 milioni 4.5[emoji24][emoji24][emoji24]
 
ngumu sana sio rahisi.
kumbe upo Movies 😄 napata shida kukariri ID za watu, hio Series nashindwa kuipata kabisa mana nachukulia library
Ninayoo season 1- 8. Ni Kali kinoma aisee, yule mzee reddington anajua.
👉Halafu back to our topic, nini kinakufanya ujihisi hivyo👉
👉Umefilisika??, Ain't married yet or ulipata divorce ndo imekuvunja??
👉 princess ariana
 
Ninayoo season 1- 8. Ni Kali kinoma aisee, yule mzee reddington anajua.
👉Halafu back to our topic, nini kinakufanya ujihisi hivyo👉
👉Umefilisika??, Ain't married yet or ulipata divorce ndo imekuvunja??
👉 princess ariana
ina session ngapi complete?? mimi nashishndwa kuipata tu
wewe mambo ni mengi ndugu yani mengi hayaelezeki hata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…