Kuna nyimbo ya zamani naitafuta imeimbwa na mdada mmoja ndani ina mstari unaimbwa "ofisa ofisa, kila mtu anakuhitaji, katika dunia hii...." Naombeni mwenye anaijua anisaidie
Kaimba Farida. Remix kamshirikisha Mkoloni wa Wagosi wa Kaya. Nimekuwekea zote hapa
 

Attachments

Nashukuru kwa hizi nyimbo hasa hiyo ya watoto wamekuja juu,hii ya ogopa tapeli ipo youtube lakini haipo vizuri hivyo kama itapatikana iliyotoka vizuri zaidi ingekuwa poa lakini pia kama unaweza kupata wimbo wa ottu jazz "kauli yake mama ya mwisho aliyoitoa kwangu" ile yenyewe.
Shukrani kwako mdau mwenzangu wa dansi.
 
Nitaitafuta mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…